Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Hii biashara ngumu sana basi hatukubali kuwa tumeshindwa kabla ya kuanza.
 

Tatizo letu kubwa ni huko "kukariri" na kuishia hapo bila hata ya kutafuta ufahamu mzuri wa hayo tunayoyakariri.
 
Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Ni nani kakuambia anafurahia mapungufu? Kuripotu mapungufu ni njia ya kuwaamsha wahusika ili wachukue hatua zinazopaswa. Wewe ulitaka apotezee tu? Unajua madhara ya kuona manatatizo na kuyakalia kimya tu?

Mzalendo wa kweli ni yule anayeona tatizo na kutumia njia zozote za kuwezesha wahusika kulitatua. Including kuripoti kwa jamii ili ijue kinachoendelea kwenye nchi yao.
 
Kama unafikiri Air Tanzania wafanya biashara basi utakuwa uko kwenye usingizi wa pono ........ endelea kulala maana ndoto za asubuhi ni tamu sana ...............!!
ATCL wanafanya siasa za ndege.
Business is about numbers, but politics is about words.
 
Mwanzo mgumu,Hata mtoto huanza kutambaa kabla ya kutembea,Yatakwisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…