Kawategeshea wazungu ndo wao wapande wkt huo huo akiwaita kuwa ni mabeberu,Jiwe ni mbushi na hashauriki, biashara hii hatuwezi na haiwezi kuendeshwa kisiasa na kutafutia kick za kishamba. Kazuia watumishi wa uma kusafiri nje kisha ananunua madege makubwa ya kuenda nje, atayapanda nani?
Huu ni uongo wa mchana kweupe! Inategemea na ndege ina siti ngapi,mfano kwenye siti 200 ukaondoka na watu 50 au 40 hapo sawa japo nayo isiwe Hali ya ku intertain sana na katika siku 7 walau itokee mara 2 Au mara 1! Sasa 6 ina maana ndege yako ina siti 30 au! Ina maana wewe kibiashara haupo! Unatakiwa Kufunga.Ila kwa kuwa mashirika ya serikali huwa yanategemea spoon feeding kutoka kwenye Kodi zetu hata yakidorora haina shida mtaji na wafanyakazi watalipwa kama kawaida! No sawa na TTCL kila siku network hakuna kuunga salio na kuangalia salio network hakuna! Ukiona wingu angani na laini ya TTCL kaweke kwenye begi mpaka jua liwake na bado kila siku marekebisho yasiyo na tija,hawawazi maana mtaji upo toka kwa Baba serikaliWewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.

" Serikali haipati hasara "
Kwa jinsi wanavyosema ingawa natambua kuwa ni hela za walipa kodi waTZ"Pamoja na rais kutununulia ndege" alitoa pesa mfukoni mwake?
Pathetic.....
Nakubali kusahihishwa nilimaanisha Dreamliner mkuu.Sasa Greamliner ndio nini?
Sifa meachiwa nyie,Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Na dreamliner time parking tu, hats kuparki ni gharama ujue
Mwongo! " collapsed, failure"Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.
Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!
Wamesitisha route. Kanjanja wwWanaendelea ila wamepunguza siku , from 7days to 5days a week. Siku zinavyosonga nazani itazidi kupunguza siku.
Biashara kichaa.
Hata mama nitilie huwa hamalizi wali na maharage yote akifungua genge siku ya kwanza - huwa anahitaji mwezi hii. itajaa tu
Utasikia zinaongezwa nyingine nne ndo utakaa chini