Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

downloadfile-4.jpg

Utawala wa Awamu ya tano unatatizo la vipaumbele.
downloadfile-4.jpg
downloadfile-4.jpg
 
Jiwe ni mbushi na hashauriki, biashara hii hatuwezi na haiwezi kuendeshwa kisiasa na kutafutia kick za kishamba. Kazuia watumishi wa uma kusafiri nje kisha ananunua madege makubwa ya kuenda nje, atayapanda nani?
Kawategeshea wazungu ndo wao wapande wkt huo huo akiwaita kuwa ni mabeberu,
Baniani / beberu mbaya kiatu chake dawa ila beberu uyu anayejitambua aaah utaishia kuwapata 6 tu ktk ndege zako
 
Wewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.
Huu ni uongo wa mchana kweupe! Inategemea na ndege ina siti ngapi,mfano kwenye siti 200 ukaondoka na watu 50 au 40 hapo sawa japo nayo isiwe Hali ya ku intertain sana na katika siku 7 walau itokee mara 2 Au mara 1! Sasa 6 ina maana ndege yako ina siti 30 au! Ina maana wewe kibiashara haupo! Unatakiwa Kufunga.Ila kwa kuwa mashirika ya serikali huwa yanategemea spoon feeding kutoka kwenye Kodi zetu hata yakidorora haina shida mtaji na wafanyakazi watalipwa kama kawaida! No sawa na TTCL kila siku network hakuna kuunga salio na kuangalia salio network hakuna! Ukiona wingu angani na laini ya TTCL kaweke kwenye begi mpaka jua liwake na bado kila siku marekebisho yasiyo na tija,hawawazi maana mtaji upo toka kwa Baba serikali
Utalii hakuna abiria atatoka wapi?
 
Utalii hakuna abiria atatoka wapi
 
Jaman hata kama kweli hatumpendi jiwe basi tupende hata vyetu, hio ATC sio ya jiwe ni ya Tanzania ndio maana haijaandikwa pale Air Jiwe, imeandikwa Air Tanzania,,liwalo na liwe awe amekaa madarakan miaka 5,10, ama hata 50 but siku moja ataondoka na kuziacha hizi jasho zetu..tweet hii ni uongo uliopitiliza, ndege zs nchini kwetu zinazoenda entebbe ni mbili, ikiwa ni PW na ATC, siku zoote ndege ya kwanza kuja ni ATC, tena normally unakuta 2 days before departure its fully booked, u can even confirm this online just check wherever ur, ndio ndege iende entebbe with 6 pass????
 
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!
Mwongo! " collapsed, failure"
Huwasikii wapi? Mbona wameeleza kuwa wamepunguza kiasi cha safari na sio hiyo "collapsed, failure" unayoshangilia wewe!
Sasa hapa unataka tukusifu kuwa unajua jambo hilo kuzidi wengine?
 
Back
Top Bottom