Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913


Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua

Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga.

Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama kukuwekea virusi vya ukimwi kwenye condom ama vyovyote vile maana 90% ya maisha yetu kiafya tunamtegemea yeye
 
Kuna watu wanaita Meko , Meko halafu hawamjui mzee Meko mwenyewe yupo hapo juu..

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Wazee wenzangu msioneshe chuneni kimya
 
Kuna watu wanaita Meko , Meko halafu hawamjui mzee Meko mwenyewe yupo hapo juu..

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Wazee wenzangu msioneshe chuneni kimya
Mezea bwana. Sio Klini kabisa
 
We unajuaje kama hawafanyi hivyo?
 
Sani watoto wa 2000 walilikuta.
 
Sawa, Huku Namanyere Kate ni wapi kituo cha chanjo!!
 
Madenge, kipepe, hui hui, baba madenge, mzee meko, kobelo, ulanzi, nsa kizange, chan'gaa, mataptapu, kaisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ