Sukuma gang bado upo kwenye denial kwamba SSH ndio raia number moja?Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .
Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
Inasemekana....wacha uzwazwa wewe...fuatilia bas hata tarfa za habar ujue ukwel wa hayo mahind au huwaoni wanaolalamika hapo holili ni watu gan?Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .
Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.Hakuna wafanyabiashara wa mahindi wa Kenya wenye mashamba Tanzania, kama wapo ni wachache Sana.
Halafu nusu ya hayo Mahindi yanatoka Zambia..kwa hiyo unataka kusema wanalima in hadi Zambia.?
Niko rombo and i can tell. wakenya wanakuja kununua mahindi shambani. sio kulimaIko hivi ikiwa hapa rombo utaona wakenya wenye mahindi meno nje maana wamempata wa kumpiga mchana mweupe
Mtoa mada tahila kwahiyo songea makambako mbeya morogoro wanalima wakenya achautailaSukuma gang bado upo kwenye denial kwamba SSH ndio raia number moja?
Ivi mwendazake alikuwa anawapiga miti nn, maana kafa lkn bado mnamtukuza ke.nge nyinyiInasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .
Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
Si kweli sisi wa huku kaskazini tunauza mahindi Kenya na pale Arusha kuna soko la mahindi na wanunuzi wengi ni Wakenya na pia Watanzania wapo,baada ya hiyo jam bei mahindi ilishuka vibaya.Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .
Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
Kwaiyo ulitaka walime kwenye masaburi yakokuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.