Kama hili lina ukweli basi Uhuru Kenyatta ni noma sana, kwa sasa anachekea tumboni tu

Kama hili lina ukweli basi Uhuru Kenyatta ni noma sana, kwa sasa anachekea tumboni tu

kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
Kama wanalima na wenyeji mpo bize na ulanzi, tatizo lipowapi? Wakenya walikuwa wanasaidia wakulima wa nyanya kupata bei nzuri.
 
mmoja wa wanasiasa wakubwa wa Kenya ana ubia na mkulima wa hapa Tz ambaye ni rafiki yangu, kwakuwa urafiki wangu naye ni zaidi ya urafiki acha niishie hapa!
 
Inasemeka...

Tumepigwa vibaya...

kauli ya kwanza yaonyesha ni habari isiyo hakika, kwenye kuhitimisha unaonyesha uko na hakika.

Hii ni porojo.
 
Ma
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .

Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.

Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.

Bahati mbaya mwendazake alifariki.

Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
Manyang'au tangu lini wakaaminika!? Tz hatujifunzi kwa yaliyotupata ilipovunjika EAC?
Kweli usipoijua historia n8 lazima uwe bichwa la mwendawazimu!
Mama etu Samy stuka ebo 😭🙏!
 
mmoja wa wa wanasiasa wakubwa wa Kenya ana ubia na mkulima mmojawapo ambaya ni rafiki yangu, kwakuwa urafiki wangu naye ni zaidi ya urafiki acha niishie hapa!
Mifano ipo mingi...ova!
 
Wivu utawaua misukule wa Magufuli.
Mlizoea siasa za chuki na visa, mama Samia kasema hapana. Hataki kugombana na majirani zake au washindani wake, hatakj uadui bali anataka urafiki.
Mama anawapelekea moto hatari.
Legacy ya marehemu Magufuli inafutwa kwa kasi ya ajabu.
Legacy gani?wakiambiwa walioacha legacy watoke mbele nadhani jiwe hatatoka ndio kwanza atakuwa anajifichaficha huku akimuovateki mtu mmoja mmoja kurudi nyuma
 
Iliyobaki tusubiri tuone sasa itakuwaje kwenda mbele tokea hapa.

Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa .

Ndio Maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.

Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest) ,walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi ,jamaa akawaelewa ,ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.

Bahati mbaya mwendazake alifariki.

Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize
,
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii nakadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili ,wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao ,na tumeingia mkenge,
Watanzania tunasafari sana kujitoa kwenye uchuuzi
Mkuu, haya yanajulikana sana
Kilichobaki sasa ni kusubiri tutaenda vipi toka hapa tulipofikia.

Tutakodisha ardhi walime, wasafirishe mazao, watengeneze bidhaa za mazao hayo halafu watuuzie, au wauze duniani vikiwa ni vitu vya thamani.

Yale maneno aliyowahi kuyasema aliyewahi kuwa waziri wao wa Biashara, na hivi juzi tu kama Katibu Mkuu wa WTO Mukhisa Kituyi; kwamba: Tanzania litakuwa ni eneo la zuzalisha mali ghafi, kama pamba, ambayo itasindikwa Uganda na baadae nguo kutengenezwa Kenya, yanaonekana kuwa ulikuwa ni utabiri makini sana.

Vitunguu vitalimwa Tanzania, vitafungashiwa Kenya na kuuzwa toka Kenya.

Hivyo hivyo, hata maparachichi!

Hivi kwenye utalii ni kipi tulichokuwa tunakikosa hadi twende kujisalimisha kwa watu wale wale ambao tulikwishawadhibiti katika eneo hilo?

Hivi kuna kitu gani huko serikalini, ambacho ni kipya cha kubadili ghafla tu kila kitu namna hii?

Serikali ya Magufuli ilikuwa inahujumiwa ndani kwa ndani, watu ambao sasa ndio wameshika hatamu?

Nchi hii kweli wote tutakubali haya ya kuwa kwenye unyayo wa nchi ambayo siku zote tunaidharau?
 
Bahati mbaya watanzania hawajuzuiwa kulima na kuuza Kenya Sawa babu, so watz kama mnajua kuna wakenya wanalima tz, basi nyie limeni Mara tatu yao na mkauze Kenya Sawa.
Hapana.

Nadhani kuna jambo haliko sawa hapa.

Hii itakuwa ni zaidi ya ujuha wa nchi nzima. Siamini kwamba Tanzania kama taifa tunaweza kufanywa kuwa majuha kiasi hiki.

Muda si muda, tutajua tu kilichopo nyuma ya yote haya.
 
Hawa wasukuma wenzangu kama huyu omtiti ni washamba tu hawana exposure na wanadhani kila kitu alichoamua Hayati Magufuli basi kilikuwa na tija kwa Taifa!
Hayati Magufuli kuna mambo mazuri amelifanyia Taifa ila kwenye diplomasia ya uchumi na demokrasia alichemka big time!
Kwenye maeneo hayo Mama Samia inaonekana mapema kabisa yuko vizuri kuliko Magufuli.
Pia kwenye upande wa maadili , Mama Samia hata lugha yake inaonekana alilelewa vizuri! Ni muungwana sana na She sounds more presidential kuliko Hayati Magufuli.
Zile lugha za kikatili,kifedhuli,kijeuri hatuzisikii tena!
Hili tunajua kuna watu linawaumiza sana kwani Mama anaenda " kumfunika" Magufuli mapema mno!
Kama Nchi Mama anatoa funzo kuhusu kuwa recruit viongozi wa Kitaifa.
Mama anakunyima kitu kwa logic na wewe mwenyewe unakubali na siyo kwa ubabe na lugha chafu za kebehi kama za Hayati Magufuli.
Tuache wivu na chuki , Mama inaonekana anaenda kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania. She is a true daughter of Tanzania, let her leads us!
 
Ninakubaliana nawe kwa mengi uliyoandika hapo juu.

Hii mistari miwili niliyonakili, nadhani unakuwa na haraka mno katika kuhitimisha; vile vile kama inavyoonekana kuwa mama anaharaka mno ya kubadili mengi bila ya kueleza taratibu zitakazofanyika kwenye mabadiliko hayo ili nchi isijikute linakuwa jalala la kuchezea wahuni.

Anayo kazi sasa ya kueleza, kwa mfano nichukue hilo la utalii alilokubaliana na Uhuru Kenyatta. Makubaliano yenyewe hasa ni juu ya nini?

Ushirikiano katika utalii kufanya nini? Mbuga zetu nazo sasa zitakuwa ni sehemu ya Masai Mara ya Kenya?
 
Wewe kwa akili yako unadhani Mama alifika tu Kenya na kusaini mikataba kabla ya wataalamu wetu kuipitia na kuangalia maslahi yetu yako vipi?!
Mimi nashauri endeleeni kutengeneza viazi vyenu vya michembe na muacheni Mama apige kazi!
 
Kwa hiyo wewe unajua makubaliano hayo yanavitu gani? Kwa maana naona tayari umekwishakubaliana nayo!

Nieleze basi kuhusu swali langu nililouliza hapo chini ya bandiko uliloni'quote'.

Twamwache apige kazi, hata kama anatuuza utumwani? Hiyo ni akili ya wapi?
Huwezi kuswagwa tu kama ng'ombe kupelekwa machinjioni bila kuhoji.
 
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.

Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.

Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.

Bahati mbaya mwendazake alifariki.

Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.

Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.

Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.

Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.

Usituchanganye watanzania na sukuma Gang.
 
Back
Top Bottom