Kama hili lina ukweli basi Uhuru Kenyatta ni noma sana, kwa sasa anachekea tumboni tu

kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
Hapa unadanganya. Hakuna mkenya anayelima vitunguu Ruahambuyuni ila walikuwa wanakuja kununua vitunguu. Hivi wamefanya sehemu nyingi kuanzia mang'ola, Malolo, Singida n.k. Hawalimi ila wananunua tu bro
 
Thibitisha Hilo na useme yalipo hayo mashamba. Ukishindwa kufanya hivyo nitaamini wewe ni timu sukuma tu!
 
Kt
Ktk hili unashauri tuweke mikakati ipi?
 
Acha Acha uchonganishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…