Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

MESSI AMETWAA UFUNGAJI BORA SPAIN.
RONALDO AMETWAA UFUNGAJI BORA ULAYA.
MESSI ANA MAGOLI 45 MSIMU HUU.
RONALDO ANA MAGOLI 44 MSIMU HUU.
TIMU YA TAIFA VIPI?
MPE MESSI BALLON d'Or.
MIMI NAMPA CR7 BALLON d'Or.
TUSUBIRI TUONE ANATAKAYE PEWA BALLON d'Or


mkuu unalolisema unalijua au, messi ni mfungaji bora laliga na ni mfungaji bora ulaya (the big five league) na atachukua pichichi na golden shoe. ronaldo ni mfungaji bora wa uefa champions league
 
mpaka Leo sijajua ni vigezo gan wanavyotumia kumpa mchezaji tuzo hiyo.




kama kuna raia anajua naomba anieleweshe
1.Mafanikio binafsi ya mchezaji katika msimu husika,mfano:idadi ya upachikaji magoli na msaada wake katika timu.
2.Mafanikio ya club katik Msimu husika,mfano:vikombe walivyoshinda.
 
Luna msimu goli kipa Manuer neur wa Bayern munich, Lichukua KOMBE LA DUNIA + LIGI KUU GERMAN (BUNDESLIGA) + VIKOMBE VYOTE VYA BUNDESLIGA mbali na ligi, mwisho wa siku aliishia kua mshindi wa tatu mbele ya mesi na ronaldo
 
mkuu unalolisema unalijua au, messi ni mfungaji bora laliga na ni mfungaji bora ulaya (the big five league) na atachukua pichichi na golden shoe. ronaldo ni mfungaji bora wa uefa champions league
Naona anajitoa ufahamu nimempa na vigezo vingine vya kiuchezaji ata kwenye man to man battle kwenye vigezo christiano anapotea kwa Messi
 
Kwan mchezaji bora anatokana na UEFA tu?
Sio kwamba Manenobya watu.Huo ndo ukweli.Hawastahili kupewa tena hawa Mafahali wa2.Viwango vyao vimeporomoka mno.Although naheshimu mchango na burudani waliyotupatia kwa zaidi ya 10 yrs
 
Bale ni Mzuri ila Ni Injury Prone.Majeraha yamemrudisha sana nyuma.Ni yaheri hata kupewa Sadio Mane kuliko yeye.Mechi 1 tu amefanya Timu inyanyue kwapa basi apewe tuzo Jamani..!!
 
Ukitaka kujua nani atachukua..pitia kampun za kubet zny option ya nan atabeba hzo tuzo..anaebeba hua amepewa odds ndgo sna..so far ni Cr7
 
Kitakacho decide Ballon d or this year ni WC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…