Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

Nakuunga Mkono swala la kukemea vikali mtu yeyote anayejaribu bila haya kumlinganisha Ronaldo na Mo na sababu ni moja tu.Alichokifanya Moo kwa msimu m1 huyu mnyama kakifanya miaka zaidi ya 8.Salah ana safari ndefu kulinganishwa na hawa Mafahali wa2.Lakn ifike sehemu tukubali kwamba hawa Jamaa si wale miaka ya nyuma.Viwango si vile tena na kwa Msimu huu Salah kafanya Makubwa zaido yao Lakini si bora kuliko wao

Hivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?

Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?
 
wanaosimama

Mwenye nafasi nzuri ya kupata Balon d'or ni mshambuliaji kwa sababu ufungaji wa magoli ndio wenye point nyingi tofauti na vigezo vingine.

Je hilo unahisi ni sahihi kwa uwoni wako?
 
Ondoa vigezo vya kufunga kisha weka vigezo vyovyote unavyovijua wewe vya kiuchazaji bado Messi atakua juu ya wachezaji wenzie tu

best dribbler
best in creating scoring oppotunities
Assist
mfungaji bora wa ligi zote bora
2 cups winner

yani Messi bado yuko juu kwenye vigezo vingi tu
 
Hivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?

Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?
Rudia kusoma tena uliponinukuu uone kama kuna popote nimesema ulimlinganisha Mo na CR7.Where you have quoted was very Clear my friend
 
Anapewa Messi

Kama hutaki andamana afande Muroto akupe kipigo cha mbwa koko
 
Unasema La Pulga kawa mfungaji La Liga mara 2 na kaiwezesha timu yake kutwaa La Liga, Na Argentina kaipeleka Russia,SAWA.
CR7 Hajaipeleka Portugal huko Russia? Hajawa mfungaji bora wa Ulaya mfululizo?
Hajaiwezesha Los Blancos kutwaa ndoo ya Eufa mara 3 mfululizo!? TAJA VIGEZO VINGINE MKUU.

Kwa ronaldo umechemsha baba...uefa kafanya nini zaidi ya kurukaruka tu golini? Ebu kuwa serious mkuu! Ni bora ungesema bale but sio huyo mruka ruka
 
ureno haijaenda Russia?

cr7 hajaisaidia madrid kubeba UEFA?

cr7 hajawa mfungaji bora UEFA?

tafuta vingezo vingine ila hivyo ulivyotoa hamna kitu ni upepo.

Ni bora ukasema Bale ndiye aliyeipatisha kombe but si ronaldo.
 
Kwa ronaldo umechemsha baba...uefa kafanya nini zaidi ya kurukaruka tu golini? Ebu kuwa serious mkuu! Ni bora ungesema bale but sio huyo mruka ruka
ENDELEA KUWA MACHO, NA MIMI NIWE MACHO, TUSUBIRI HALAFU TUONE KAMA KIROBOTO ATATWAA BALLON d'Or.
 
Hivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?

Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?
SALAH KAIVUNJA RECORD IPI? YA DUNIA? AU RECORD YA ENGLAND?
MSALAH KAIVUNJA RECORD IPI YA DUNIA?
ANA JUMLA YA MAGOLI MANGAPI LIGI KUU NA UEFA MSIMU HUU?
MO SALAH ACHEZE KWA MIAKA 15 IJAYO ILI AMFIKIE LA PULGA NA CR7
KUMLINGANISHA MO SALAH NA MESSI AU RONALDO NI MATUSI MAKUBWA.
 
Ni bora ukasema Bale ndiye aliyeipatisha kombe but si ronaldo.
UMLINGANISHE BALE NA RONALDO?
BALE KAFANYA NINI KTK UEFA?
KUFUNGA FINAL GOAL NDO AMEKUWA BORA KULIKO RONALDO?
BALE ANA MAGOLI MANGAPI YA EUFA?
BALE ANA MAGOLI MANGAPI LA LIGA?
AMEFANYA NINI TIMU YA TAIFA?
NI MFUNGAJI BORA WA MWEZI? NI MFUNGAJI BORA WA EUFA?
AMENG'ARA KTK MECHI NGAPI ZA UEFA?
ANA TUZO YOYOTE MSIMU HUU?
{UNACHEKESHA SANA}
 
MESSI AMETWAA UFUNGAJI BORA SPAIN.
RONALDO AMETWAA UFUNGAJI BORA ULAYA.
MESSI ANA MAGOLI 45 MSIMU HUU.
RONALDO ANA MAGOLI 44 MSIMU HUU.
TIMU YA TAIFA VIPI?
MPE MESSI BALLON d'Or.
MIMI NAMPA CR7 BALLON d'Or.
TUSUBIRI TUONE ANATAKAYE PEWA BALLON d'Or
 
MESSI ANA MAGOLI 45 MSIMU HUU.
AMETWAA UFUNGAJI BORA SPAIN.
RONALDO ANA MAGOLI 44 MSIMU HUU.
AMETWAA UFUNGAJI BORA ULAYA.
VIPI TIMU YA TAIFA?
WEWE MPE MESSI, MIMI NAMPA CR7. TUSUBIRI TUONE.
Ondoa vigezo vya kufunga kisha weka vigezo vyovyote unavyovijua wewe vya kiuchazaji bado Messi atakua juu ya wachezaji wenzie tu

best dribbler
best in creating scoring oppotunities
Assist
mfungaji bora wa ligi zote bora
2 cups winner

yani Messi bado yuko juu kwenye vigezo vingi tu
Messi ana ndoo 2 sawa.
Timu ya Taifa hajafanya vema kwenye kufuzu japo Argentina wapo Russia.
Ni mfungaji bora wa ligi kuu Spain la liga. Ronaldo ni mfungaji bora wa Eufa.
Ana ndoo 1 ya Ulaya msimu huu. Makombe ya ndani ya Spain na kombe la ULAYA lipi linakuweka juu?
 
Back
Top Bottom