Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

Ronaldo na Messi ni wachezaji bora kabisa kwa wakati tulionao ila nasikitika pamoja na ubora wao wamechangia pakubwa kugeuza football kua politics... Ni upuuzi na ushamba kuamin mfungaji bora ni lazima awe mchezaji bora.. Mtu anaweza asiwe mfungaji ila akawa ndo mchezaji anaebeba timu..

Tatizo kubwa la Football limekua ni Business na Politics.
Lakini wenye matatizo zaidi ni washabiki mana ndio wanayoyabariki haya.
 
Salah ndie anaestahiki mpaka sasa. Ila baada ya world Cup ndio tutapata picha kamili nani hasa anastahiki. Salah ndie aliekua most consistence player all through a season. Hata performance zake semi final na quoter final ndani ya champion league zilikua claas. Ronaldo alipotea kabisa ndni ya semi final na fainal pia. unahitaji kuperform zaidi kweye biggest stage nasio makundini.

Ila kwa siasa ya ulaya ilivo usishangae kabisa ukasikia Ronaldo anawin awards. hawa jamaa wanaboa sana. Mimi binafsi nimeacha kushuhulikia tunzo mda tu. Ronaldo kushinda tunzo mbele ya Luka Modric ni kuudhalilisha mpira kabisa. na ndio imekua hivo mwaka watatu huu.
 
Madrid fans mnalazimisha Macelo apewe kwa lipi? Wakina nesta, maldini and roberto carlos hawakupewa sembuse Macelo!! Kuweni serious wabongo sio kila kitu mnarahisisha huu ni mpira bwana sio maneno...upande wa cr7 sijaona alichokifanya lakini tusishangae akapewa ballon,, kwangu mimi Messi anastahili ameiwezesha tim yake kuchukuwa ubingwa mara mbili ndani ya msimu mmoja, na mfungaji bora europe and la liga, na kaiwezesha tim yake ya taifa kwenda Russia. Haya bisheni sasa, i know that wengine watatokwa povu.
Unasema La Pulga kawa mfungaji La Liga mara 2 na kaiwezesha timu yake kutwaa La Liga, Na Argentina kaipeleka Russia,SAWA.
CR7 Hajaipeleka Portugal huko Russia? Hajawa mfungaji bora wa Ulaya mfululizo?
Hajaiwezesha Los Blancos kutwaa ndoo ya Eufa mara 3 mfululizo!? TAJA VIGEZO VINGINE MKUU.
 
Salah ndie anaestahiki mpaka sasa. Ila baada ya world Cup ndio tutapata picha kamili nani hasa anastahiki. Salah ndie aliekua most consistence player all through a season. Hata performance zake semi final na quoter final ndani ya champion league zilikua claas. Ronaldo alipotea kabisa ndni ya semi final na fainal pia. unahitaji kuperform zaidi kweye biggest stage nasio makundini.

Ila kwa siasa ya ulaya ilivo usishangae kabisa ukasikia Ronaldo anawin awards. hawa jamaa wanaboa sana. Mimi binafsi nimeacha kushuhulikia tunzo mda tu. Ronaldo kushinda tunzo mbele ya Luka Modric ni kuudhalilisha mpira kabisa. na ndio imekua hivo mwaka watatu huu.
Usiangalie kwamba CR7 hakufanya vema ktk nusu final au final, Angalia kafanya nini tangu Uefa inaanza, Angalia kafanya nini wakati Portugal wanafuzu kwenda Russia, Angalia toka magoli 4 La Liga hadi 25, Angalia mara ngapi mfululizo alichokifanya UEFA, Na alichoweka ktk UEFA & Portugal na La Liga.MO & Modric bado
 
Salah ndie anaestahiki mpaka sasa. Ila baada ya world Cup ndio tutapata picha kamili nani hasa anastahiki. Salah ndie aliekua most consistence player all through a season. SALAH NA MODRIC NI WAZURI LAKINI HAWAJAFANYA KILICHOFANYWA NA MESSI NA RONALDO.
 
Madrid fans mnalazimisha Macelo apewe kwa lipi? Wakina nesta, maldini and roberto carlos hawakupewa sembuse Macelo!! Kuweni serious wabongo sio kila kitu mnarahisisha huu ni mpira bwana sio maneno...upande wa cr7 sijaona alichokifanya lakini tusishangae akapewa ballon,, kwangu mimi Messi anastahili ameiwezesha tim yake kuchukuwa ubingwa mara mbili ndani ya msimu mmoja, na mfungaji bora europe and la liga, na kaiwezesha tim yake ya taifa kwenda Russia. Haya bisheni sasa, i know that wengine watatokwa povu.
Kama hata wakiendeleza huu UPUUZI wao wa Kukariri....Kati ya Messi na Ronaldo anastahili Ronaldo na si kama ww unavyotaka kuaminisha Uma
 
Usiangalie kwamba CR7 hakufanya vema ktk nusu final au final, Angalia kafanya nini tangu Uefa inaanza, Angalia kafanya nini wakati Portugal wanafuzu kwenda Russia, Angalia toka magoli 4 La Liga hadi 25, Angalia mara ngapi mfululizo alichokifanya UEFA, Na alichoweka ktk UEFA & Portugal na La Liga.MO & Modric bado

unafurahisha kweli, Salah kaipeleka Misri world cup kwa mara ya kwanza toka 1990 nafikiri hujaliona hilo. Croatia nayo ipo world cup pia faham. Kwahiyo kuhusu national team kaa kimya tu mkuu. na kuhusu la liga Unajua alichokifanya EPL salah msimu huu? unajua rekodi ngapi kavunja salah ndani ya EPL msimu huu? hayo 4 mpaka 25 tatizo lanani? alikaa miezi karibu mitatu hafungi mwenyewe nahilo ni doa kubwa sifa kubwa ya ubora ni consistence performances ambayo ronaldo alikosa msimu huu. Mo Salah ametoa classy performances, ndani champion league. hata salah asingelifunga yale magoli mawili mechi ya Roma basi pia angelimaliza mechi akiwa mchezaji bora wa mech, Hiyo ndio tafauti kubwa kati yake na ronaldo. Ronaldo ni goals bila ya goals ni flop kwenye game, kwasababu hana chochote anachoofa uwanjani zaidi ya goal.

Na kuhusu modric mkuu nakushangaa kabisa kuwa bado umeshindwa kufaham football. Modric amekua best player na performer ndani ya Real Madrid kwa miaka mi5 hii, Jamaa ndio moyo wa timu kabisa. Ila nyinyi ufahamu wenu nikua ukifunga sana ndio bora. hata ukisubiria kipa ateme ujalize.
 
unafurahisha kweli, Salah kaipeleka Misri world cup kwa mara ya kwanza toka 1990 nafikiri hujaliona hilo. Croatia nayo ipo world cup pia faham. Kwahiyo kuhusu national team kaa kimya tu mkuu. na kuhusu la liga Unajua alichokifanya EPL salah msimu huu? unajua rekodi ngapi kavunja salah ndani ya EPL msimu huu? hayo 4 mpaka 25 tatizo lanani? alikaa miezi karibu mitatu hafungi mwenyewe nahilo ni doa kubwa sifa kubwa ya ubora ni consistence performances ambayo ronaldo alikosa msimu huu. Mo Salah ametoa classy performances, ndani champion league. hata salah asingelifunga yale magoli mawili mechi ya Roma basi pia angelimaliza mechi akiwa mchezaji bora wa mech, Hiyo ndio tafauti kubwa kati yake na ronaldo. Ronaldo ni goals bila ya goals ni flop kwenye game, SUBIRI MIAKA 15 IJAYO SALAH ATATWAA BALLON d'Or.
 
unafurahisha kweli, Salah kaipeleka Misri world cup kwa mara ya kwanza toka 1990 nafikiri hujaliona hilo. Croatia nayo ipo world cup pia faham. Kwahiyo kuhusu national team kaa kimya tu mkuu. na kuhusu la liga Unajua alichokifanya EPL salah msimu huu? unajua rekodi ngapi kavunja salah ndani ya EPL msimu huu? hayo 4 mpaka 25 tatizo lanani? alikaa miezi karibu mitatu hafungi mwenyewe nahilo ni doa kubwa sifa kubwa ya ubora ni consistence performances ambayo ronaldo alikosa msimu huu. Mo Salah ametoa classy performances, ndani champion league. hata salah asingelifunga yale magoli mawili mechi ya Roma basi pia angelimaliza mechi akiwa mchezaji bora wa mech, Hiyo ndio tafauti kubwa kati yake na ronaldo. Ronaldo ni goals bila ya goals ni flop kwenye game, kwasababu hana chochote anachoofa uwanjani zaidi ya goal.
KUMBE KAVUNJA RECORD ZA ENGLAND? MIMI NILIFIKIRI KAVUNJA ZA DUNIA. NATIONAL TEAM KAFANYA ZAIDI YA RONALDO? UNAM-COMPARE MO NA CR7? MATUSI HAYA
 
Kabla ya kumlinganisha Mo Salah na Ronaldo, Nenda kwanza www.wikipedia.org au www.google.com ukawasome vizuri kwa umakini na utulivu mkubwa, Utakaporudi hapa. Ule uiEngland utakuwa umekutoka kichwani.
NI MATUSI MAKUBWA KUMCOMPARE SALAH KWA RONALDO.
 
Nakuunga Mkono swala la kukemea vikali mtu yeyote anayejaribu bila haya kumlinganisha Ronaldo na Mo na sababu ni moja tu.Alichokifanya Moo kwa msimu m1 huyu mnyama kakifanya miaka zaidi ya 8.Salah ana safari ndefu kulinganishwa na hawa Mafahali wa2.Lakn ifike sehemu tukubali kwamba hawa Jamaa si wale miaka ya nyuma.Viwango si vile tena na kwa Msimu huu Salah kafanya Makubwa zaido yao Lakini si bora kuliko wao
 
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.

Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha majuzi na kutwaa kombe baada ya kuwachapa bila huruma Majogoo wa Jiji Liverpool.

Nasikitishwa mno na Taarifa kuanza kuzagaa kwamba Ronaldo ndiye mwenye nafasi kubwa ya kutwaa tena Balon d'or.Kwann kila siku Ronaldo,Messi,Messi,Ronaldo.Hii tabia ya kukariri ni upuuzi mtupu na ndio maana hata 2010 akina Sneijder na Iniesta walifanya Mambo ya hatari lakini kwa kukariri wakapewa tena hawa Jamaa.

Kama ni kwa Mafanikio ya UEFA apewe hata MARCELO (fundi )maana ndo injini ya hiyo timu ila wengi tu hawaoni.

Tumewachoka hawa Jamaa wa2 na kusema kweli tukubali tu kwamba si wale wanaume wa kipindi cha nyuma.

Ballon D'or mwaka huu atapewa Jose Mourinho kwa uchezaji wake wa kuogopa kufungwa.
 
Basi wampe bale
Jamani!!!Kwani ni Lazima mchezaji wa Madrid tu apewe?Mechi moja tu mtu kapata kipa Shati basi amekua Lulu??Hahahaha....Labda apewe Goli bora na Si Mchezaji Bora
 
wanaosimama
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.

Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha majuzi na kutwaa kombe baada ya kuwachapa bila huruma Majogoo wa Jiji Liverpool.

Nasikitishwa mno na Taarifa kuanza kuzagaa kwamba Ronaldo ndiye mwenye nafasi kubwa ya kutwaa tena Balon d'or.Kwann kila siku Ronaldo,Messi,Messi,Ronaldo.Hii tabia ya kukariri ni upuuzi mtupu na ndio maana hata 2010 akina Sneijder na Iniesta walifanya Mambo ya hatari lakini kwa kukariri wakapewa tena hawa Jamaa.

Kama ni kwa Mafanikio ya UEFA apewe hata MARCELO (fundi )maana ndo injini ya hiyo timu ila wengi tu hawaoni.

Tumewachoka hawa Jamaa wa2 na kusema kweli tukubali tu kwamba si wale wanaume wa kipindi cha nyuma.
Mwenye nafasi nzuri ya kupata Balon d'or ni mshambuliaji kwa sababu ufungaji wa magoli ndio wenye point nyingi tofauti na vigezo vingine.
 
Back
Top Bottom