Ronaldo na Messi ni wachezaji bora kabisa kwa wakati tulionao ila nasikitika pamoja na ubora wao wamechangia pakubwa kugeuza football kua politics... Ni upuuzi na ushamba kuamin mfungaji bora ni lazima awe mchezaji bora.. Mtu anaweza asiwe mfungaji ila akawa ndo mchezaji anaebeba timu..
Tatizo kubwa la Football limekua ni Business na Politics.
Lakini wenye matatizo zaidi ni washabiki mana ndio wanayoyabariki haya.