Nakuunga Mkono swala la kukemea vikali mtu yeyote anayejaribu bila haya kumlinganisha Ronaldo na Mo na sababu ni moja tu.Alichokifanya Moo kwa msimu m1 huyu mnyama kakifanya miaka zaidi ya 8.Salah ana safari ndefu kulinganishwa na hawa Mafahali wa2.Lakn ifike sehemu tukubali kwamba hawa Jamaa si wale miaka ya nyuma.Viwango si vile tena na kwa Msimu huu Salah kafanya Makubwa zaido yao Lakini si bora kuliko wao
Hivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?
Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?