MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Noma sana mkuu.. dokta kayakanyaga mwenyewe.Li kikundi la kijinga limejaa propaganda
Mungo ni muongo tu hata kama yeye mwenyewe hajui kuwa ni muongo.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya dr Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba
wakutane nae haraka iwezekanavyo.
Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.
Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.
Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.
Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.
Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.
Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.
Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.
Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.
Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.
Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.
Jioni njema.
Achana nae huyo mkuu. Wengi tunajua kama jamaa anatumia jinsia zote mbili, yani Me na Ke.Mkuu wewe ni me au ke? Ulivyomaliza kwa kusema kha nimepata mashaka kidogo
🤣🤣🤣🤣🤣Alichokosea Slaa ni kutotanguliza dau mezani. Kabla ya maongezi angeweka hata milioni 500 mezani huyo Mbowe angemrudisha chamani na kumteua kuwa mjumbe wa kamati kuu. Sema Slaa naye ni kenge sana kuropoka ushuzi wakati washkaji zake waliokuwa nae chama kimoja walipopatwa na matatizo. Alizingua kinyama kwenye ishu ya Lissu na Mbowe.
Mimi ninashauri Dr Slaa ajiunge WCB wazunguke nae kwenye Wasafi Festival.
Najua leo weekend haupo sawa.Mungo ni muongo tu hata kama yeye mwenyewe hajui kuwa ni muongo.
Ni lini na wapi Mbowe aliwahi kushtakiwa kwa uhaini.
Kwa uhakika upinzani Tanzania upo tayari kushikana mkono wa shirika na shetani ikiwa tuu yuu kinyume na serikali ya ccm.
Maana ccm ni mbaya kwa watu wa haki kuliko alivyo shetani mwenyewe
Ok mkuu.Ni mitizamo tu hakuna jipya
Ninamuonea huruma Slaa,alivyo mzee sasa hivi.Josephine nae yupo Canada na watoto .Dr Slaa itakuwa anamkumbuka sana mkewe Rose Kamili na anajuta why alimuacha na kuchukua dogodogo Josephine.Kwa haya yanayomkuta Dr alitakiwa awe karibu sana na familia yake.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya dr Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba
wakutane nae haraka iwezekanavyo.
Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.
Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.
Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.
Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.
Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.
Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.
Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.
Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.
Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.
Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.
Jioni njema.
Mimi ni Tomaso, I seriously doubt the authenticity ya hoja hii, kwasababu Dr. Slaa is a person of impeccable integrity, can't be that cheap!. This news is too good to be true!.Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kwa comment hii tu ni kweli umetunga!Dokta anavuna alichopanda.
Wenzie wanakula uzee kwa mema waliyofanya ujanani, yeye anakula uzee kwa mabaya aliyofanya ujanani 🤣🤣
Bila taifa hakuna familia .Ninamuonea huruma Slaa,alivyo mzee sasa hivi.Josephine nae yupo Canada na watoto .Dr Slaa itakuwa anamkumbuka sana mkewe Rose Kamili na anajuta why alimuacha na kuchukua dogodogo Josephine.Kwa haya yanayomkuta Dr alitakiwa awe karibu sana na familia yake.
Mauongo ya chadema. Kwani kupinga ccm lazima uwe chadema. Kwanza kuna uzito gani kuitwa balozi huku ulishatumika kama balozi sio hili jina tu la kuitwa? Hata kama kuna posho hatuzijui mtu mwenye msimamo kutotawaliwa kifikra hatojali.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya dr Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba
wakutane nae haraka iwezekanavyo.
Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.
Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.
Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.
Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.
Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.
Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.
Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.
Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.
Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.
Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.
Jioni njema.
Huu ni mtego wa kisiasa huwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu inabidi wazichange vizuri karata zao wakimkubali shida wakimuacha akienda kwingine kama bado anainfluence kubwa bado nayo itawaletea shida chadema isichotaka kwa sasa ni kuibuka kwa chama kingine chenye nguvu cha upinzani wakati ccm kwa sasa likitokea hilo ni furaha kubwa sana kwake maana itawagawa wapiga kura wapenda upinzani na wao kujihakikishia uchaguzi mzuri na rahisi kwake. Siasa ni game kazi kwao wanasiasa .Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya dr Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba
wakutane nae haraka iwezekanavyo.
Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.
Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.
Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.
Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.
Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.
Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.
Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.
Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.
Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.
Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.
Jioni njema.
Dr mihogo ashachoka kula mihogoHabari zenu wanaJF wenzangu,

Tatizo huko kwenu mzee Rungwe anasimama mwenyewe kwenye uraisi.aje huku chauma tutampokea.sisi hatuna neno