Kama hofu inaua, wangapi walikufa kwa hofu baada ya ajali mbaya ya lori la mafuta Msamvu-Morogoro?

Waliugua ila hawakufa sana kama sasa ulishawai zika watu namna hii acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi cha uongo tena nilichoeleza? nachoeleza ni kwamba dalili tulizokuwa nazo last year kipindi ambacho hakuna mastory ya corona ndio dalili hizo hizo zilizopo sasa ila sasa zinaitwa dalili za corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…