Kama huhusiki na hiphop usije hapa

Kama huhusiki na hiphop usije hapa

Afadhali ya kundi A nitajifunza ki2 katika uandishi wao.....ila ungemuongeza ngosha,songa,nash$p the mc,ingekua baridi sana.....big up to my favourite rhymez writter bonventure
 
Makundi yote yatajaza watoto wa sekondari na ma first year wa vyuo
 
Hilo kundi B nalo wanaimba au watumbuizaji hapo labda ungeweka Tamaduni vs Weusi hapo ningeenda nusu show kwa akina Nikki mbishi nusu show namalizia kwa GMF nyeusi
 
Hawa unawajua Mkuu? Angalia comments za wazungu YOUTUBE!


Hawa jamaa ni wakali kitambo xplastaz daah nini dhambi R.I.P father Nelly, ukweli utabakia tu Arusha kuna Hiphop hao wa Tanga wabana pua tu.
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wengi wanaosema ni wa hiphop hawafanyi hiphop, wengi wao wanarap ni fleva tu na hii imesababishwa na media zetu kutoipatia mda wa kutosha hiphop,jambo lililosababisha wasanii wengi kuikimbia hiphop.
Naamini hao karibu wote wanaweza kufanya hiphop ila hawaifanyi,angalia mtu kama kala pina kajitahidi sana kuzungumza vitu vya kweli miaka mingi tu lakini media imemuangusha mpaka sasa na yeye kaamua kubadilika,
Hashim dogo akaamua kuacha kabisa wapi saigon na xplastaz
Mkumbuke solo thang alieamua kujiondokea kabisa nchini kwenyewe baada ya mizengwe ya miaka mingi,
Saa hizi ni fleva tu
 
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........


Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???



View attachment 101335

Me nadhani ktk kundi A ungemtoa huyo Roma ukaweka either GODZILA/KALA JEREMIA,huyo Roma namsikilizaga but sijawai'ng'amua hasa kama anaimba au analalamika pia anaimba kama vile anasoma kwenye gazeti matukio yaliyotokea kabla.
 
Back
Top Bottom