Wasanii wengi wanaosema ni wa hiphop hawafanyi hiphop, wengi wao wanarap ni fleva tu na hii imesababishwa na media zetu kutoipatia mda wa kutosha hiphop,jambo lililosababisha wasanii wengi kuikimbia hiphop.
Naamini hao karibu wote wanaweza kufanya hiphop ila hawaifanyi,angalia mtu kama kala pina kajitahidi sana kuzungumza vitu vya kweli miaka mingi tu lakini media imemuangusha mpaka sasa na yeye kaamua kubadilika,
Hashim dogo akaamua kuacha kabisa wapi saigon na xplastaz
Mkumbuke solo thang alieamua kujiondokea kabisa nchini kwenyewe baada ya mizengwe ya miaka mingi,
Saa hizi ni fleva tu