Kama huhusiki na hiphop usije hapa


real HIP HOP is not on the radio.... mkuu SAIGON karudi yupo na ngoma yake latest inaitwa fikra pana itafute tafadhali..... kala pina kweli media zimemuangusha sana pia hashimu dogo..... kuna wasanii wanafanya vizuri.... kama nash mc,salu t, xplastaz bado ni sumu.. latest albam mixtape ya shule iko vema....
 
Mi bila hizi maisha hayaendi. 8 ball & MJG, DPG, sheek louch, NBN na Youngbloodz
 
Kundi B hatare Ila nahisi Kama stamina hujamtendea haki kuwa A
 
Hivi hiyo real hip hop mnayozungumzia bongo inauza wapi,huwezi kufananisha soko la real hip hop na soko la watu kama Izzo B,mfano Nikki mbishi au One Incredible hata watoe wimbo hautahit but mtu kama Quick Rocka akitoa anaweza kuhit hata wiki moja kama si mbili.
Mbali na hapo hao wa hip hop ngumu wataact as if money is nothing kumbe hawauzi
 

japo kiumri siendani na era ya uliowataja,lkn nitaenda kundi A.
 


Mkuu Hizi nyimbo za vichwa kama !

One (MLIMANI)
Nikki Mbishi (MUST)
Sterio (ARDHI )
Songa
Ghetto Ambassador
Kad Go (UDOM)
Azma (IFM)
Zaidi Mchafu
Nash MC (Zuzu)
P The MC (CBE)
Malle Marxist (USTAWI)
DUBO JESUS SON (MUST)
DIZASTA VINA (MUST)
ROLLAND na BIZNEA
huwezi kusema zi hit kwenye Redio au wapi !
Tunaopenda hip hop tunaelewa nini wanachofanya!
Na tunaburudika na mistari yao !
Afu tUna huzuria KILINGE kama kawaida !

Mwisho wa siku Tanzania ina Tambua HIP HOP YA KWELI IPO TAMADUNI MUZIK

tatizo wabongo hawaelewi hip hop ya kweli ni ipi !
Acha tu tusikilize sisi kwenye Lap tops afu tu uzurie kilingeni kama kawaida !

ndomana Songa anakwambia

''wanasema mbona si skiki kwenye Redio/
kwanini? Nawajibu kawaulize wenye Redio/ ''
 

media zinawabania wana hip hop ukirejea harakat za ant virus ya mh. sugu pia utaelewa namaanisha nini..... watu kama AZMA hawapewi ile nafasi kusikika
 

nakubaliana nawewe thats true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…