Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake.
Upande wa pili kuna murillo (later lisbon), col tomayo, cesar gandia (huyu ndio nilimchukia kupita wote maana hakuwa na mipaka na alikuwa mbishi na emotional), alicia sierra (nilikapenda haka kamama), angel rubio, major sagasta (na fighters wake niliwakubali sana), Arturo alikuwa mpumbavu sana.
Nimeangalia game of thrones, prison break, breaking bad, 24, last ship, the wire, homeland, the americans, ozarks, seal team, designated survivor, the shooter, blacklist, condor, tom clancy, mission impossible nk lakini hakuna inayoifikia money heist.
Nimeziangalia hizo series hapo juu na kuzirudia lakini sijaona yenye vionjo kama money heist. Kwa watu wanaopenda intelligence series basi iangalie na kama uliwahi kuiona irudie tena.