Kama hujaangalia La Casa de Papel (Money Heist) basi hujaona series bado

Kama hujaangalia La Casa de Papel (Money Heist) basi hujaona series bado

Watoto wadogo hao hawajui breaking bad ni nini. Money Heist angalau S01 and S02 baada ya hapo ni utoto tu. Nliacha kuangalia nliona ya kitoto sana na vitoto vya miaka hii ndo vinaisifia.watu tumengalia series kama Lost, Rome, lords of Rings miaka ya 2000s. Hawa watoto wameanza kuangalia series 2010s unawaona wanachachawa.
Kijana naona umeamua kujifanya mkubwa sana. Ninaangalia series tangu 1996. Bado sijaona inayoifikia money heist. Zote hizo unazotaja hapo za 2000s haziifikii the wire ndio maana sikuzitaja. BB, GOT na PB ni nzuri lakini haziifikii money heist.
 
Series ukizotaja hapo zipo katika genre tofauti ni ngumu kuzilinganisha...
And I do respect your opinion Ila kweli upo serious unalinganisha breaking bad na money heist?..kwamba money heist ni nzuri kuliko au?
BB inao uzuri wake hasa kwasababu iko na uhalisia sana ila kwangu bado haijafikia money heist.
 
Money heist ni series ya kawaida sana ila tu story ndo. Sio mtu wa kuangalia series sana unaonekana ndio maana ukaja na hii thread. .
Nimeangalia series tangu 1996 na nimeziona nyingi hata hazihesabiki kuanzia zile za kwenye tv za bongo miaka hiyo na 2000s na hizi za kudownload siku hizi. Bado sijaona inayoifikia money heist.
 
Kijana naona umeamua kujifanya mkubwa sana. Ninaangalia series tangu 1996. Bado sijaona inayoifikia money heist. Zote hizo unazotaja hapo za 2000s haziifikii the wire ndio maana sikuzitaja. BB, GOT na PB ni nzuri lakini haziifikii money heist.
Basi Dogo huzijui Series. Nlitamani ungekuwa na umri mkubwa nikuelezee mengi. Money Heist haiwezi ingia hata 20 bora zangu.
 
That this Tv show is above Breaking Bad and GOT. Dude, I don't know who you're trying to convince about this. when is known Money heist amongst the best series it can't even be on the top 50.
GOT is highly overrated. Breaking bad is good and has reality. None of them reaches the excitement of money heist in my opinion.
 
Dah nikikutaga watu mnajadili series kama hizi nashindwa kuelewa ni kwamba mimi sina akili au? Series zangu kali mpaka sasa ni

BMF
Topboy
Peaky Blinders
 
Na sitak ata kuiskia naona kama trush inanipotezea tu mda
 
Hio series hamna kitu ni utoto tu, kwa upande wangu ilinishinda baada ya s01 sijui 02, iko so overrated me naona ni trash tu.
 
Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake.

Upande wa pili kuna murillo (later lisbon), col tomayo, cesar gandia (huyu ndio nilimchukia kupita wote maana hakuwa na mipaka na alikuwa mbishi na emotional), alicia sierra (nilikapenda haka kamama), angel rubio, major sagasta (na fighters wake niliwakubali sana), Arturo alikuwa mpumbavu sana.

Nimeangalia game of thrones, prison break, breaking bad, 24, last ship, the wire, homeland, the americans, ozarks, seal team, designated survivor, the shooter, blacklist, condor, tom clancy, mission impossible nk lakini hakuna inayoifikia money heist.

Nimeziangalia hizo series hapo juu na kuzirudia lakini sijaona yenye vionjo kama money heist. Kwa watu wanaopenda intelligence series basi iangalie na kama uliwahi kuiona irudie tena.
Squid game, walking dead under the dome
 
S1 na S2 zililuwa believable. Kuendelea mbele series nzima ilipoteza suspension of disbelief. Even though bado ilikukeep hooked sababu ya character development iliyosababisha ujali kinachoendelea. Otherwise, ni good series. But never. I repeat, never compare Money Heist na Breaking Bad.

Breaking Bad ni mnyama mwingine. Ile siyo series, ni real life documentary. Shit happens anywhere, anytime. And you won't see them coming.

Money Heist ni level za Squid Game ambayo ni bora zaidi. Money Heist haioni kitu hata mbele ya The Boys. Let alone kumention pamoja na Breaking Bad. Na The Boys ni moja ya series bora sana nilizowahi kuziona.
 
Back
Top Bottom