Kijana naona umeamua kujifanya mkubwa sana. Ninaangalia series tangu 1996. Bado sijaona inayoifikia money heist. Zote hizo unazotaja hapo za 2000s haziifikii the wire ndio maana sikuzitaja. BB, GOT na PB ni nzuri lakini haziifikii money heist.Watoto wadogo hao hawajui breaking bad ni nini. Money Heist angalau S01 and S02 baada ya hapo ni utoto tu. Nliacha kuangalia nliona ya kitoto sana na vitoto vya miaka hii ndo vinaisifia.watu tumengalia series kama Lost, Rome, lords of Rings miaka ya 2000s. Hawa watoto wameanza kuangalia series 2010s unawaona wanachachawa.
BB inao uzuri wake hasa kwasababu iko na uhalisia sana ila kwangu bado haijafikia money heist.Series ukizotaja hapo zipo katika genre tofauti ni ngumu kuzilinganisha...
And I do respect your opinion Ila kweli upo serious unalinganisha breaking bad na money heist?..kwamba money heist ni nzuri kuliko au?
Nimeangalia series tangu 1996 na nimeziona nyingi hata hazihesabiki kuanzia zile za kwenye tv za bongo miaka hiyo na 2000s na hizi za kudownload siku hizi. Bado sijaona inayoifikia money heist.Money heist ni series ya kawaida sana ila tu story ndo. Sio mtu wa kuangalia series sana unaonekana ndio maana ukaja na hii thread. .
Basi Dogo huzijui Series. Nlitamani ungekuwa na umri mkubwa nikuelezee mengi. Money Heist haiwezi ingia hata 20 bora zangu.Kijana naona umeamua kujifanya mkubwa sana. Ninaangalia series tangu 1996. Bado sijaona inayoifikia money heist. Zote hizo unazotaja hapo za 2000s haziifikii the wire ndio maana sikuzitaja. BB, GOT na PB ni nzuri lakini haziifikii money heist.
GOT is highly overrated. Breaking bad is good and has reality. None of them reaches the excitement of money heist in my opinion.That this Tv show is above Breaking Bad and GOT. Dude, I don't know who you're trying to convince about this. when is known Money heist amongst the best series it can't even be on the top 50.
Peaky Blinders ni nzuri.... Top Boy na BMF sijazimaliziaDah nikikutaga watu mnajadili series kama hizi nashindwa kuelewa ni kwamba mimi sina akili au? Series zangu kali mpaka sasa ni
BMF
Topboy
Peaky Blinders
Kilamtu hupenda akitakacho.Usiku wote huu unatuamsha na hii chai,kama unasema hiyo kali basi hujui kuangalia series wewe na kuzielewa
Sawa ChampionshipKwenye bandiko zote hizi nimeandika kwamba nimeshaziona sasa sielewi umekomenti bila kusoma au ni kitu gani.
Squid game, walking dead under the domeSeries hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake.
Upande wa pili kuna murillo (later lisbon), col tomayo, cesar gandia (huyu ndio nilimchukia kupita wote maana hakuwa na mipaka na alikuwa mbishi na emotional), alicia sierra (nilikapenda haka kamama), angel rubio, major sagasta (na fighters wake niliwakubali sana), Arturo alikuwa mpumbavu sana.
Nimeangalia game of thrones, prison break, breaking bad, 24, last ship, the wire, homeland, the americans, ozarks, seal team, designated survivor, the shooter, blacklist, condor, tom clancy, mission impossible nk lakini hakuna inayoifikia money heist.
Nimeziangalia hizo series hapo juu na kuzirudia lakini sijaona yenye vionjo kama money heist. Kwa watu wanaopenda intelligence series basi iangalie na kama uliwahi kuiona irudie tena.