Kama hujajenga pitia hapa usifanye makosa kwenye wiring yako

Kama hujajenga pitia hapa usifanye makosa kwenye wiring yako

Ebana eeh kwa hiyo generator ilipiga mzigo wenyewe bila ya kuweka external fuel?

Hongera kwa kuniongezea imani
Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo
 
Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo
Kwanini hazipo popular.... zina shida gani hata watu hawazifatilii sana wakati kariakoo kunahitajika magenerator mengi sana tu
 
Back
Top Bottom