Phack Soloka Member Joined Jul 11, 2015 Posts 26 Reaction score 31 Apr 19, 2023 #41 yay86 said: Ebana eeh kwa hiyo generator ilipiga mzigo wenyewe bila ya kuweka external fuel? Hongera kwa kuniongezea imani Click to expand... Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo
yay86 said: Ebana eeh kwa hiyo generator ilipiga mzigo wenyewe bila ya kuweka external fuel? Hongera kwa kuniongezea imani Click to expand... Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo
Y yay86 Member Joined Mar 21, 2014 Posts 22 Reaction score 22 Apr 19, 2023 #42 Phack Soloka said: Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo Click to expand... Kwanini hazipo popular.... zina shida gani hata watu hawazifatilii sana wakati kariakoo kunahitajika magenerator mengi sana tu
Phack Soloka said: Ilifanya Kazi Vzr bila tatizo na Hadi Leo Ile system iko Pale NIT {Eng. Kyando} Yuko Nayo Click to expand... Kwanini hazipo popular.... zina shida gani hata watu hawazifatilii sana wakati kariakoo kunahitajika magenerator mengi sana tu