Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
Kama umejipanga wala usiogope Mkuu.Unanitisha nataka kuanza mwakani napiga mpaka bati then natulia kwanza
Mi sina stress coz sijachoka kupanga halafu sina familia yaani msela tupu ningeanza hata mwaka huu sema nabagua viwanja nataka cha kigamboni karibu na niwe na access ya kufika post mpaka kariakoo ... Vya mbali sana sitakiKama umejipanga wala usiogope Mkuu
Ila usijenge kwa pupa utapata headache
Unanitisha nataka kuanza mwakani napiga mpaka bati then natulia kwanza
Niko Dar mzee nataka ya vyumba vinne haijalishi bajeti gani ila napiga mpaka bati then narelax coz nyumba nilipopanga pazuri na nalipa ndefu miezi sita.Mbaka bati eeh? Upo mkoa gani? Budget yako ni pesa ngap mkuu!?
Mwenzio bado nahenya hapa chini
Hapo utajenga kwa utulivu sana, endelea kutafutaMi sina stress coz sijachoka kupanga halafu sina familia yaani msela tupu ningeanza hata mwaka huu sema nabagua viwanja nataka cha kigamboni karibu na niwe na access ya kufika post mpaka kariakoo ... Vya mbali sana sitaki
Umeona ehhhMbaka bati eeh? Upo mkoa gani? Budget yako ni pesa ngap mkuu!?
Mwenzio bado nahenya hapa chini
Umeona ehhhMbaka bati eeh? Upo mkoa gani? Budget yako ni pesa ngap mkuu!?
Mwenzio bado nahenya hapa chini
Hivi viwanja huko kigamboni au pembeni ya mji bei zipoje jamani?Mi sina stress coz sijachoka kupanga halafu sina familia yaani msela tupu ningeanza hata mwaka huu sema nabagua viwanja nataka cha kigamboni karibu na niwe na access ya kufika post mpaka kariakoo ... Vya mbali sana sitaki
Mwenzio mimi nimetupia hela yote kwenye ujenzi, alafu sijafikia malengo ya kugonga bati basi ni stress juu ya stressMimi pia nilikua natishwa hivyo hivyo ila kujenga ni rahisi sana mzee
Mbinu unayotakiwa kutumia kwanza usijenge kama adhabu alaafu pili punguza matumizi yasiyo ya lazima na uanze ku save...
Inategemea kule mbali Bei rahisi ila karibu huku Bei ndefu kingine ukinunua kwa muhusika sio pesa ndefu unaweza kupata kwa 35k per square meter uko mbali hata 20k kwa squareHivi viwanja huko kigamboni au pembeni ya mji bei zipoje jamani?
Acha kabisa madam mafundi ndo wanaongeza stress zaidi, fundi anaweza kukukatia bonge ya dirisha ili amalize kazi yake haraka[emoji106][emoji2][emoji1]
Vitu vya kiingereza... Blandering, skimming, plaster etc[emoji1]
Ujenzi si lelemama.
Sometimes i wish watu wa Nhc, wangekuwa wanajenga kwenye makazi ya kawaida ya watu kulingana na ramani ya mtu husika, then tunawalipa robo tatu, au nusu na robi au nusu nyingine unalupa polepole.
Kuna watu kweli wanapata kiharusi kwasababu ya ujenzi wanadhani ni kurogwa kumbe stress za ujenzi.
Na ukimpata fundi mwenye wawenge ndio balaa hatari. Anakutajia vifaa vingi ambavyo havitumiki vyote au anachanganya cement ratio usiyo sahihi na ile inayomwagika chini haangaiki kuizoa.
Misumari ikidindika kama hakuna wa kuokota imekula kwako. Bati au mbao zinakatwa vipande vipande bila mpangilio anajua una hela.
Hutakiwi kujenga hadi umalize pesa ya akiba yote, tenga akiba yako kwaajili ya dharura yoyote utakayo tokea alafu hela utakazo pata nje ya akiba yako ndo utupie yote kwenye ujenzi ukiona tu ujenzi unataka kugusa kiasi cha akiba ulicho panga kuwa nacho sitisha kwanza ujenzi, maana dharura zingine huwa zinakuja bila taarifa Kama utamaliza akiba Basi utajikuta umeingia kwenye madeni makubwa na hata hiyo nyumba inaweza kukushinda kabisaMwenzio mimi nimetupia hela yote kwenye ujenzi, alafu sijafikia malengo ya kugonga bati basi ni stress juu ya stress
[emoji23][emoji1787][emoji847][emoji847][emoji847]Jamani ujenzi unakondesha
Hata kunywa kabia unaogopa
Namba mpya upokei kuogopa ugomvi na fundi [emoji16]