Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio baadae akupigie sim Umpigie hata wewe Maana Kama kosa ni lako still akupigie wewe Kukulamba miguu wakati wewe ndio Mwenye makosa, Akiwa kakosea yeye basi Ni wajibu wake Kujishusha ili Mambo yakae sawa
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Neno " ...wanawake wote ni sawa" Hii sio kauli ya Wanaume hata kidogo labda Huyo wako Usituhukumu kwa makosa ya Mtu mmoja
Ha ha ha....biashara ya majeneza tena, you can't be serious[emoji1787]Mbona leo maada za kuoa zimekuwa nyingi humu?!
Au ndo mwezi wenyewe huu wa valentine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sa hivi hata nikiposti uzi wa kutangaza biashara yangu ya majeneza sidhani kama uzi utapata wachangiaji
.
Mmeamrishwa kuishi nasi kwa akili lakini Ajabu ni pale mume anapotumia nguvu nakukabiliana na mapungufu ya wake au wenza wao.
]
Kwenye Ujumbe katupoteza maboya[emoji4]Sijasoma ujumbe, nimesoma kichwa cha habari tu.
Nakuunga mkono, "kuoa ni kwa wanaume wenye akili timamu tu"
Kaka nimesoma heading tu vipengele sijavisomaNaunga mkono hoja,
Ila tatizo mtoa mada naona Kama katuchanganya.
Content yake inavitu vingi Sana vya kujadili ukiachilia mbali suala lake la kuoa kwa wenye akili.
Tunatakiwa tulijadili suala lake kipengele mpk kipengele[emoji4]
Katumix mno kwenye vipengele, seems mtoa mada alkua na jazba Sana[emoji4]Kaka nimesoma heading tu vipengele sijavisoma
Kichwa cha habari biriani, ujumbe nguna ndondo sio? [emoji23]Kwenye Ujumbe katupoteza maboya[emoji4]
Nadhani tukomae na heading tuKatumix mno kwenye vipengele, seems mtoa mada alkua na jazba Sana[emoji4]