Kama hujakomaa kiakili acha kuoa

Wasiooa mje uku, au mpaka mtajwe?[emoji4]
 

Kwakweli namimi nakazia atengue iyo kauli haraka sana..[emoji4]
 
Mbona leo maada za kuoa zimekuwa nyingi humu?!
Au ndo mwezi wenyewe huu wa valentine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sa hivi hata nikiposti uzi wa kutangaza biashara yangu ya majeneza sidhani kama uzi utapata wachangiaji
Ha ha ha....biashara ya majeneza tena, you can't be serious[emoji1787]
 
.

Mmeamrishwa kuishi nasi kwa akili lakini Ajabu ni pale mume anapotumia nguvu nakukabiliana na mapungufu ya wake au wenza wao.
]

Mtoa mada Hii kitu "TUISHI NAO KWA AKILI" umeikariri vibaya sana,

Hata kukuwasha klebu Moja ya maana upate kizunguzungu kidogo unapozidisha mdomo mdomo iyo nayo Ni akili.

Wanawake:msipende sana kukariri na kumeza Kama yalivyo.

Wanaume: Za kuambiwa, changanyeni na zenu[emoji4]
 
Naunga mkono hoja,
Ila tatizo mtoa mada naona Kama katuchanganya.

Content yake inavitu vingi Sana vya kujadili ukiachilia mbali suala lake la kuoa kwa wenye akili.

Tunatakiwa tulijadili suala lake kipengele mpk kipengele[emoji4]
Kaka nimesoma heading tu vipengele sijavisoma
 
Tena kwa wanawake hawa wa kisasa hawa (wanaodai usawa na mwanaume) aisee inahitajika akili maradufu kuishi nao vinginevyo mtaishia kuchomana moto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…