Kama hujaoa, nakushauri uoe malaya anayejiuza kwa sababu hizi 6

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.

1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo utapata raha maishani.
4: Wengi sio wambeawambea na ni washauri wazuri wa mambo ya maendeleo maana walikuwa wamepoteza dira muda mrefu.
5: Wakimrudia Mungu huwa hawaigizi, watakuwa waaminifu.
6: Watakupa changamoto ya kuwa na nguvu ya kutafuta fedha muda wote ili usimtie majaribuni akatamani kurudi kujiuza.

Wakuu mimi sijao malaya. na nimeshastaafu mambo ya ndoa maana umri umesonga sana, ila huu ndio ushauri wangu kwa vijana lijali
 
Sasa mkuu umeshapata Malaya wako wakuoa?au unataka tuanze sisi kuoa ndipo na wewe uoe?
 
Yupo rafk mmoja namfahamu na n mtu wa watu sana aliowah oa mwanamke malaya na walifanikiwa sana ila mwsho wa siku mwanamke alimfilisi jamaa na kutokomea na hela nyng hadi inauma ,
 
alikosea. wenda huyo malaya alikuwa jastaafu kutoka rohoni
 
mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.

1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo utapata raha maishani.
4: Wengi sio wambeawambea na ni washauri wazuri wa mambo ya maendeleo maana walikuwa wamepoteza dira muda mrefu.
5: Wakimrudia Mungu huwa hawaigizi, watakuwa waaminifu.
6: Watakupa changamoto ya kuwa na nguvu ya kutafuta fedha muda wote ili usimtie majaribuni akatamani kurudi kujiuza.

Wakuu mimi sijao malaya. na nimeshastaafu mambo ya ndoa maana umri umesonga sana, ila huu ndio ushauri wangu kwa vijana lijali
We umeshaoa mmoja?
 
Back
Top Bottom