Jof3
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 663
- 323
Ndio ujaribu utupe mrejeshoAiseee. Ila kama kuna kaukweli kwa mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujaribu utupe mrejeshoAiseee. Ila kama kuna kaukweli kwa mbali.
Wale sio watu wa kawaida aisee.Hahahahaha ndo hvyo nahisi katika top tena ya watu makatili zaidi ulimwenguni makahaba hawakosi,
Kweli kabisa.Hahahahaha ndo hvyo nahisi katika top tena ya watu makatili zaidi ulimwenguni makahaba hawakosi,
Mkuu, hebu tuekane sawa, Unamzungumzia malaya au kahaba? maana malaya hajiuzi.mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.
1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo utapata raha maishani.
4: Wengi sio wambeawambea na ni washauri wazuri wa mambo ya maendeleo maana walikuwa wamepoteza dira muda mrefu.
5: Wakimrudia Mungu huwa hawaigizi, watakuwa waaminifu.
6: Watakupa changamoto ya kuwa na nguvu ya kutafuta fedha muda wote ili usimtie majaribuni akatamani kurudi kujiuza.
Wakuu mimi sijao malaya. na nimeshastaafu mambo ya ndoa maana umri umesonga sana, ila huu ndio ushauri wangu kwa vijana lijali
Unasema?mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.
1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo utapata raha maishani.
4: Wengi sio wambeawambea na ni washauri wazuri wa mambo ya maendeleo maana walikuwa wamepoteza dira muda mrefu.
5: Wakimrudia Mungu huwa hawaigizi, watakuwa waaminifu.
6: Watakupa changamoto ya kuwa na nguvu ya kutafuta fedha muda wote ili usimtie majaribuni akatamani kurudi kujiuza.
Wakuu mimi sijao malaya. na nimeshastaafu mambo ya ndoa maana umri umesonga sana, ila huu ndio ushauri wangu kwa vijana lijali
😂😂😂.....kama umejihami kimalayamalaya hivi.mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.