matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
oa mzee usiwacheleweshe.hahahaha, aisee hii ni ngumu mno...ila kuna malaya wazuri balaaa
😀 mkuu hata kunguru ukimtegua mabawa anakuwa kiumbe mwema tuHapa naona unajaribu kuwatengenezea banda kunguru wa Zanzibar
utafiti unaonyesha ile kitu ikipumzishwa au ikipigwa kwa staha hurudi katika ensi zake kama mtoto mchangaUtamsaidia muoaji kuogelea bwawani mkuu!?
mkuu sipotoshi naelimisha.Acha kupotosha umma. Tabia haina dawa.
kakubwa sana tuAiseee. Ila kama kuna kaukweli kwa mbali.
mtake radhi malaya mkuu.Rejea msemo usemao kuwa Kunguru hafugiki na ujaribu kufikiria kwa undani
alikosea. wenda huyo malaya alikuwa jastaafu kutoka rohoniYupo rafk mmoja namfahamu na n mtu wa watu sana aliowah oa mwanamke malaya na walifanikiwa sana ila mwsho wa siku mwanamke alimfilisi jamaa na kutokomea na hela nyng hadi inauma ,
We umeshaoa mmoja?mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.
1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo utapata raha maishani.
4: Wengi sio wambeawambea na ni washauri wazuri wa mambo ya maendeleo maana walikuwa wamepoteza dira muda mrefu.
5: Wakimrudia Mungu huwa hawaigizi, watakuwa waaminifu.
6: Watakupa changamoto ya kuwa na nguvu ya kutafuta fedha muda wote ili usimtie majaribuni akatamani kurudi kujiuza.
Wakuu mimi sijao malaya. na nimeshastaafu mambo ya ndoa maana umri umesonga sana, ila huu ndio ushauri wangu kwa vijana lijali
mimi mzee mkuu. nitaoa tena. bahati mbaya enzi zangu hawakuwepoWe umeshaoa mmoja?
Sasa kwann unawashauri wenzio kitu ambacho huja-practice.mimi mzee mkuu. nitaoa tena. bahati mbaya enzi zangu hawakuwepo