Kama hujaoa, nakushauri uoe malaya anayejiuza kwa sababu hizi 6

Nmekumbuka ule msemo every prostitute has a story to tell..
 
And so shall be.
 
Labuda umwoe ukiwa haujui kama ilikuwa ndo biashara zake
 
Acha kupoteza wenzio wewe...!
 
Hao malaya ukiwaambia mkaanzia angaza atakutukana uyaoge matusi mpaka basi!
 
Kina cha maji hakipimwi au kujaribiwa kwa mguu sivyo utazama mwanagu!

Sumu haipimwi kwa kuonja!
 
wanaofurahia ni ambao wameoa wanawake decent ambao walifanya umalaya kutokana na hali ngumu ya kimaisha. Ila ukioa mwanamke mwenye hobby na umalaya umekwisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We unaleta utani na maisha[emoji2][emoji2]

Unatafuta risk mwenyewe alafu mwisho wa siku upate hasara uanze kulialia humu?

Wateja wake waanze kusumbua kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…