Word....Ifike hatua tuache kubembelezana,
serikali ilisema kbs imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini?
hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikua wanapata hadi 280, 000/=
hawa ndio wamepewa 23%
sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23%
acheni dharau basi, kama huridhiki acha kazi uende wanapolipa vizuri kwani umelazimishwa?
ifike hatua serikali iache kubembeleza watu
hujaridhika sepa
Hata laki haifiki 😔23% ya 280,000/- unaijua?
Ndiye unawalipa watumishi?mzazi
6440023% ya 280,000/- unaijua?
Kuna watumishi wameongezwa 60,000/-?64400
Ukiongeza kwenye kima cha chini unapata kama laki 3 n 40 kwa maisha ya sasa haitoshi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hizi kauli nenda pale Lugalo au Airwing kawaambie nafikiri watakuelewa sana. Dharau ni pale unapoona watumishi fulani hawataweza nifanya chochote kuathiri madaraka yangu, na watumishi wengine lazima waonje asali ili niwe nalala bila wasiwasi.acheni dharau basi, kama huridhiki acha kazi uende wanapolipa vizuri kwani umelazimishwa?
ifike hatua serikali iache kubembeleza watu
hujaridhika sepa
Huo uzazi wako wako una mahusiano gani na watumishi wa umma kudai nyongeza ya mishahara yao?mzazi
Serikali haikuzuii kulima wala kucheza forex ilikujiongezea kipato.64400
Ukiongeza kwenye kima cha chini unapata kama laki 3 n 40 kwa maisha ya sasa haitoshi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Na ukiharibu kazi utafukuzwa kaziFanyeni tu kazi kuligana na mnacholipwa!
Ufanisi uendane na mshahara,hakuna kubembeleza mshahara na hakuna kuacha kazi.
64400
Ukiongeza kwenye kima cha chini unapata kama laki 3 n 40 kwa maisha ya sasa haitoshi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
64400
Ukiongeza kwenye kima cha chini unapata kama laki 3 n 40 kwa maisha ya sasa haitoshi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Haiwezekani mkafanya hilo na haitokaa itokee hasa kwenye kada ya elimu/ualimuShida sio nyongeza, shida ni Hangaya kudanga ya uma eti asilimia 23.3% kumbe fix, Sasa na sisi 2025 tutamdanganya tunakupigia Kura Halaf hatutampigia ajue maumivu ya kudanganywa