Kama hujaridhika na nyongeza ya mshahara, Acha kazi uende wanapolipa vizuri!

Shida sio nyongeza, shida ni Hangaya kudanga ya uma eti asilimia 23.3% kumbe fix, Sasa na sisi 2025 tutamdanganya tunakupigia Kura Halaf hatutampigia ajue maumivu ya kudanganywa
Hakuna sehemu Rais alidanganya, taarifa ilisema ameongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23% labda wengi hawakuelewa.
 
Acheni kusumbua viongozi tupo tayari kuwalinda ili walale vizuri
 
Shida sio nyongeza, shida ni Hangaya kudanga ya uma eti asilimia 23.3% kumbe fix, Sasa na sisi 2025 tutamdanganya tunakupigia Kura Halaf hatutampigia ajue maumivu ya kudanganywa
Atashinda hata usipopiga kura hamna namna
 
Stupid of you!
 
Wajifunze kuacha kuropoka viongozi,kwani angesema nitaongeza nitakachoona angelaumiwa na nani? Watu wazima anawaambia asilimia 23 halafu anaongeza asilimia 5 ndo dharau gani hizo?! Itafikia muda watumishi tutaanza kumchukulia na kumtendea kama kama nae anavyochukulia,uzuri Nyerere aliweka sheria ya utumishi nzuri sana.
 
Kima cha chini hawajapewa sasa hiyo 23% wamepewa 5% uongo uongo kwa mwanamke sio mzuri!
hakuna sehemu Rais alidanganya, taarifa ilisema ameongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23% labda wengi hawakuelewa
 
Watumishi wanataka walipwe mapesa yote yanayokusanywa halafu miradi ya kimkakati ilale.

Kuweni wazalendo kidogo.
Labda watumishi wa mungu. Wapi na lini uliwahi wasikia watumishi wa uma kupitia vyama vyao au wao wenyewe wakidai hivyo?
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…