Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 1,384 Reaction score 2,880 Apr 13, 2024 #41 Acha tukulane tu zigizaga wazeee hata unaemwita mke Kuna fala mmoja anamlenga mpk jicho anajifanya kakosea kumbe lengo ni kumfanya kengeza
Acha tukulane tu zigizaga wazeee hata unaemwita mke Kuna fala mmoja anamlenga mpk jicho anajifanya kakosea kumbe lengo ni kumfanya kengeza
baloz89 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,224 Reaction score 1,800 Apr 13, 2024 #42 Tunaoa mademu za watu,wanakuja kwetu ili tu nao waitwe "mke wa fulani"lakini mioyo yao ipo kwa vijamaa vyao huko maofisini,makwao na kwingineko!!.....usaliti ni mojawapo ya mambo mabaya sana katika maisha ya kiumbe chochote!
Tunaoa mademu za watu,wanakuja kwetu ili tu nao waitwe "mke wa fulani"lakini mioyo yao ipo kwa vijamaa vyao huko maofisini,makwao na kwingineko!!.....usaliti ni mojawapo ya mambo mabaya sana katika maisha ya kiumbe chochote!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 13, 2024 #43 Kataa ndoa
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Apr 13, 2024 #44 point kwa timu ya kataa ndoa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Apr 13, 2024 #45 Kabla ya kuoana mpimane akili, huyu mwanaume ni mgonjwa wa akili. No wonder!!!
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Apr 13, 2024 #46 Vesuvius said: jamaa hasira iliwaka zaidi baada ya mwanamke kujaribu kumrushia jiwe. Click to expand... Budaa hao ndiyo wanawake wa kimeru man, yaani hivo vichwa ni shida yaani. Niliwahi kushuhudia jamaa akila kichapo huko mlimani kutoka kwa mkewe asee niliona aibu sana man. Sasa hapo imagine mke kaliwa, mumewe anakuja naye anapewa kibano kwa kurushiwa jiwe 😆😂!.
Vesuvius said: jamaa hasira iliwaka zaidi baada ya mwanamke kujaribu kumrushia jiwe. Click to expand... Budaa hao ndiyo wanawake wa kimeru man, yaani hivo vichwa ni shida yaani. Niliwahi kushuhudia jamaa akila kichapo huko mlimani kutoka kwa mkewe asee niliona aibu sana man. Sasa hapo imagine mke kaliwa, mumewe anakuja naye anapewa kibano kwa kurushiwa jiwe 😆😂!.