Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

Acha tukulane tu zigizaga wazeee hata unaemwita mke Kuna fala mmoja anamlenga mpk jicho anajifanya kakosea kumbe lengo ni kumfanya kengeza
 
Tunaoa mademu za watu,wanakuja kwetu ili tu nao waitwe "mke wa fulani"lakini mioyo yao ipo kwa vijamaa vyao huko maofisini,makwao na kwingineko!!.....usaliti ni mojawapo ya mambo mabaya sana katika maisha ya kiumbe chochote!
 
Kabla ya kuoana mpimane akili, huyu mwanaume ni mgonjwa wa akili. No wonder!!!
 
jamaa hasira iliwaka zaidi baada ya mwanamke kujaribu kumrushia jiwe.
Budaa hao ndiyo wanawake wa kimeru man, yaani hivo vichwa ni shida yaani.

Niliwahi kushuhudia jamaa akila kichapo huko mlimani kutoka kwa mkewe asee niliona aibu sana man.

Sasa hapo imagine mke kaliwa, mumewe anakuja naye anapewa kibano kwa kurushiwa jiwe 😆😂!.
 
Back
Top Bottom