Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Unasema kweli.
 
Ujue
Mods kuna kitu sielewagi hata kidogo!

Kwanza unakuta uzi niliusoma muda tu lakini siku unaukuta eti unasomeka kwamba umepostiwa jana (yaani mpya)

Pili uzi wa zamani eti unakuja kufanywa ni komenti (unaunganishwa) kwenye uzi wa jana hapo
Hata mimi niliwaza huu uzi mbona kama ulikuwepo zamani sana
 
11# Anjari na Heltho zipo Dar Upanga na uhindini.
 
Hahaaaa tulikuwa na wivu mkuu. Mi nimesoma Galanos A Level. Tulikuwa tukizinguliwa na St.Christina hasira zetu tunaenda malizia kwao. Tulikuwa tunaambiana kabisa tupite pale wakati wa mchakamchaka tukawatukane tu hasira zipoe.
Wale watoto wa ST christina walikuwa wanajiona wazuri sana
 
Hiyo number 15 umetupaanga kabila la Wasmbaa ndio washamba zaidi labda ungesema Wadigo.
 
Tanga ili UISHI vizuri na wazee usipendelee kuvaa vibukta au Vinjunga hapo wazee watakupenda
 
Inategemea na imani yako.
 
Hahaaaa tulikuwa na wivu mkuu. Mi nimesoma Galanos A Level. Tulikuwa tukizinguliwa na St.Christina hasira zetu tunaenda malizia kwao. Tulikuwa tunaambiana kabisa tupite pale wakati wa mchakamchaka tukawatukane tu hasira zipoe.
Bora umemwelesha jamaa ako wa galanos πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…