the palace
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 367
- 1,094
Sikufanikiwa kufika tanga mjini ,,,, korogwe pale nimekaa kama siku 3 ,,,,
☺️na wish mtu anipeleke tanga nipajue 😘
Mkuu haya yote yemelenga.mapenzi vip kuhusu yan kujali familia watoto kufanya kazi Yan shuhuli za ndani au wao wanasubiri kitandani tu[emoji28][emoji28][emoji28] enzi hizo tuko usagara pale usiku tunatoka manane ya usiku tuko road trip kwa miguu kuvizia vigodoro ila zaidi nilipendaga baikoko sio hivi vigodoro vya mitaani vya kishenzi yaani utamu wa tanga ipigwe ile baikoko yenyewe ya kimombasa au kizigua kidigo ujionee uumbaji watoto wa mule wana balaa zito........
Hapo ndiyo nilipo amini tanga mahaba yamezaliwa, ukipata demu wa kitanga mcheza koko ukiweka ndani ukamnyima koko ndoa kwishney [emoji28][emoji28][emoji28]
Vile vile kitandani uwe njema, ukikaa wiki hujapeleka uno na ndoa kwishney anaruhusiwa binti kurudi kwao kulalamika humpi unyumba.
Wadaslam wanapiga miguu yote kwao wanaona ndo mahaba [emoji28][emoji28][emoji28]
Kuhusu majini usiku na misukule haikudhuru kama haikuhusu ila usiku hatujawai kutana nayo labda wapasua nazi tanga hiyo ni warranty lazma uwakute. Nazi kupasuliwa tanga ilikuwa ni warranty na mayai viza, ila kwa sasa sijui kama wameacha.....[emoji28]
Mkuu Bado uko tanga ...? Nina hitaji unisaidie jambo aiseeKwahiyo mkuu kusalimia tu ndo kukufanye ilukose amani?? Ila mi nipo TANGA mwaka wa 10 huu, hakuna kitu Kama hicho. Kwa kifupi tuseme uchawi upo Hata maeneo mengine ya Tanzania na dunia, shida Ni Imani ambayo imekua ikisambazwa tangu na tangu ambayo Hadi leo kuhusu uchawi TANGA. Ila Ni Mambo ya kuhasithiana tu vijiweni ambayo hayana uthibitisho. Karibu TANGA mkuu.
Mbona hujapasifia Tanga Nyumbani Pazuri.Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.
Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga
1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani.
2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini Jiongeze.
3. Ugali Wa 1500 Unapata Mboga 7 Usisahau Uono (Dagaa Mchele) Buree.
4. Tanga Ndio Jiji Pekee Kuna Baiskeli Za Kukodi Yaani Kama Bodaboda Vile Zina Kiti Chenye Sponge Hadi Raha.
5. Club Za Tanga Zinapiga Taarabu Unashangaa Shauri Yako.
6. Self Tanga Ni 50K Chumba Kikubwa Na Choo Ndani Tena Vimenakshiwa Vizuri Kabisa.
7. Wakazi Wa Tanga Hawapandi Boxer,TVS Wanapikipiki Zao Special Zinaitwa "Huoniao" AKA Kibao Mbuzi.
8. Breakfast Ya 1000 Tanga Unashiba Vizuri Kabisa Kifupi Ukila Mchana Kisa Njaa Ujue Una Minyoo Au Ulafi.
9. Ndio Jiji Lisilo Na Kelele Wala Vurugu Pako Kimyaaa Hadi Raha.
Kijana Wa Tanga Akishakuwa Na Uhakika Wa Kula Na Sehemu Ya Kukaa Anawaza Kuongeza Mke Sio Biashara Wala Kuwekeza Hayo Mtajua Wenyewe.
10. Ukitaka Binti Wa Kitanga Aje Geto Mwambie Apande Pikipiki Utamlipa Boda Halafu Akifika Mnunulie Chips Yai Na Soda Broo Umemaliza Kazi.
11. Tanga Ndio Jiji Lenye Soda Au Tuseme Juice Ya Kipekee Inayoitwa "Healtho" Au "Anjari" Ni Tamu Sana Zipo Aina Kama 5 Hivi Huko Bakhresa,Mo,Coca,Pepsi Hata Hawasikiki Sana.
12. Ukiwa Tanga Jaribu Kuishi Na Watu Vizuri Kuoa Na Kuolewa Usipate Shida Wao Ndio Watakutafutia.
13. Raskazone,Donge,Tanga Beach Ndio Ushuani Huko Wanaishi Vigogo AKA Mafogo.
14. Tanga Mjini Kuna Super Market 1 Tu Inaitwa Mkwabi 🤣🤣 (Labda Kama Zimeongezeka)
15. Wasambaa Ndio Kabila Linaloheshimika Zaidi Tanga Mjini Na Ndio Kabila Superior.
16. Kuhusu maji ya kunywa hapo usiseme kule huna haja ya kununua maji dukani maana maji ya bomba tu yanatosha kukata kiu yako kifupi hayana shida kabisa hadi raha.
17. Ukiwa na binti wa kitanga uwe na pumzi ipasavyo usipoangalia utatolewa jasho mwanaume alaa.
18. Tanga Kuna Traffic Light sehemu 2 Tu Pale Toyota Kuelekea Bombo na Maeneo ya Mkwakwani.
19. Tanga hakuna Bolt, Uber Wala Farasi ni Mwendo Wakuita Kibao Mbuzi au Upande Daladala.
2o. Daladala Ipo Radhi Imsubiri Mtu Tena Ikibidi Ipige Reverse Imfwate Alipo.
Sema katika yote Tanga ni jiji lililopangika vizuri kuanzia uswahilini, mjini kati mpaka huko kwa matajiri!!
#VisitTanga
Wale wapo nyuma kwenye maendeleo ya kila aina yaani pande zote.Mkuu haya yote yemelenga.mapenzi vip kuhusu yan kujali familia watoto kufanya kazi Yan shuhuli za ndani au wao wanasubiri kitandani tu
Hii ni dhana ya uvivu na uchawi ipo miaka yote ila haina ukweli wowoteUmesahau uvivu ni jiji lenye jamii ya watu wavivu sana uzeeni wanakuja kuishi terrible life
Ongeza na mwembe mawazoTanga Ina traffic light maeneo matatu, relini karibu na uwanja wa Moira wa CCM Mkwakwani, Toyota kuelekea bombo hospitali na bandari lakini pia makororora hospitali pamoja na usagara shule ya msingi
Supermarket zilizopo ambazo ni ni kubwa zimeongezeka kuna SD supermarket hii ni kubwa, kuna Paile supermarkets hii imejaaMkuu super market wameongeza moja pale barabara ya 4 😀
Pia
Mkuu super market wamewaongezea moja ipo pale barabara ya 4
Pia Traffic Light nyingn pia ipo pale relli
Hizi story za kahawa na vijiweni hamna ukweli wowote hapaJiji halieleweki, mtu ukijituma kufanya kazi na kujiletea maendeleo wenzako wanakuroga eti unajifanya mzungu, yaani wanataka mfanane tu. Wazee wa lile jiji wanaona ufahari watoto wao wakienda madrasa kuliko shule, sasa unajiuliza, hivi elimu na mila ya Kiarab inamsaidia mtoto wa Kitanzania katika maisha yake? Sisi watanzania tuna mila na desturi zetu jamani.
ChaiWanaume wa Tanga wanajua kususa na kununa balaa😃😃😃
SD ipo maeneo gani kiongozi?Supermarket zilizopo ambazo ni ni kubwa zimeongezeka kuna SD supermarket hii ni kubwa, kuna Paile supermarkets hii imejaa
vyakula hasa wachina ndio wanaipendelea sana na ni kubwa kuna iyo manha supermarkets na iyo mkwabi, ukienda mini supermarkets zipo nyingi sana sahivi siwezi hata zitaja
Ipo Karibu na ofisi za bodi mkonge Tanzania upande wa bandari kama wakaribia posta au usawa wa hiyo mkwabi. Kuna jengo nadhani ni nyumbani hotel au Karibu pia na jengo la casa chicaSD ipo maeneo gani kiongozi?
Kweli bhanaChai
Shem anatokea TAnga?Kweli bhana
Sio waja leo kurudi majaliwaNani atuambie maana ya neno waja leo warudi leo?