Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
Hapana sio TangaShem anatokea TAnga?
Hapana sio TangaShem anatokea TAnga?
Ila ushawahi date mtanga anayenuna nuna na kususa ?🤭Hapana sio Tanga
Story zenu za kahawaKweli bhana
Ni kweli sio story nishawah kuwa na mtanga minuno km yote ni mwendo wa kuuchuna nilibembeleza nikaona nitakufa bure mwanaume hachekesheki na mm sio mamboyangu😀😀😀Story zenu za kahawa
Sasa kama ulizingua na jamaa akala tinted si shobo zako, wanaume hatupend ujingaNi kweli sio story nishawah kuwa na mtanga minuno km yote ni mwendo wa kuuchuna nilibembeleza nikaona nitakufa bure mwanaume hachekesheki na mm sio mamboyangu😀😀😀
Aah wap alikuwa anaumia ujeuri tu 😀Sasa kama ulizingua na jamaa akala tinted si shobo zako, wanaume hatupend ujinga
😋😋Twende tukatembee basi