Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.
Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga

1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani...
Tanga Ina traffic light maeneo matatu, relini karibu na uwanja wa Moira wa CCM Mkwakwani, Toyota kuelekea bombo hospitali na bandari lakini pia makororora hospitali pamoja na usagara shule ya msingi
 
Naomba kufahamishwa mnara wa saa wa Kwanza wa 1901 Ni upi?? Mana mi naifahamu mitatu ingawa sijui umri halisi wa hiyo minara. Wa Kwanza Ni ule wa soko la ngamiani, wa pale Uhuru garden karibu na hosteli ya usagara pamoja na ule wa forodhani karibu na CRDB bank.
 
Uzushi tu huo.
Uzushi wapi?

Tanga tatizo kubwa ni uchawi,hasa ukiwa mgeni usijifanye " kumind your own business" . Ukiwa Tanga unapswa kusalimia Kila unapopita kijiwe cha "wazee",ukijifanya kupuuzia utauliziwa "huyu kijana anaishi wapi"? Baada ya hapo kitakachokupata!!

SIku nimefika Tanga mwanangu akanitahadhalisha,kaka hapa Tanga kuwa mnyenyekevu utaishi vizuri na watu,ukifika kwenye vijiwe vya kahawa salimia Asalam aleykum kisha nenda zako. Utakaa hata miaka kumi bila shida.
 
Back
Top Bottom