Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Kwanini liaanike mkuu?? Umefanya tafiti au Ni hisia zako tu??
Jiji halieleweki, mtu ukijituma kufanya kazi na kujiletea maendeleo wenzako wanakuroga eti unajifanya mzungu, yaani wanataka mfanane tu. Wazee wa lile jiji wanaona ufahari watoto wao wakienda madrasa kuliko shule, sasa unajiuliza, hivi elimu na mila ya Kiarab inamsaidia mtoto wa Kitanzania katika maisha yake? Sisi watanzania tuna mila na desturi zetu jamani.
 
Uzushi wapi?

Tanga tatizo kubwa ni uchawi,hasa ukiwa ngeni usijifanye " kumind your own business" . Ukiwa Tanga unapswa kusalimia Kila unapopita kijiwe cha "wazee",ukijifanya kupuuzia utauliziwa "huyu kijana anaishi wapi"? Baada ya hapo kitakachokupata!!

SIku nimefika Tanga mwanangu akamotahadhalisha,kaka hapa Tanga kuwa mnyenyekevu utaishi vizuri na watu,ukifika kwenye vijiwe vya kahawa salimia Asalam aleykum kisha nenda zako. Utakaa hata miaka kumi bila shida.
Upuuuzi tu wanjifanya kingdom of doom 🤧 hawana ubavu
 
Umenikubusha usagara sec advance,ugali wa kukoboa na maharage unchanganya na uono,mbilimbi chachu na top layer!!aiseh one of my best meals ever!!!

Halafu pale mzimuni ,unacheki madem.wakisubiri daladala Kwa dirishani!!ilikua burudani sana!!wakati.Organic chemistry ikiniumiza pole pole enzi zile!!
Hahahahah USS member.
 
Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.

Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga

1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani.

2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini Jiongeze.

3. Ugali Wa 1500 Unapata Mboga 7 Usisahau Uono (Dagaa Mchele) Buree.

4. Tanga Ndio Jiji Pekee Kuna Baiskeli Za Kukodi Yaani Kama Bodaboda Vile Zina Kiti Chenye Sponge Hadi Raha.

5. Club Za Tanga Zinapiga Taarabu Unashangaa Shauri Yako.

6. Self Tanga Ni 50K Chumba Kikubwa Na Choo Ndani Tena Vimenakshiwa Vizuri Kabisa.

7. Wakazi Wa Tanga Hawapandi Boxer,TVS Wanapikipiki Zao Special Zinaitwa "Huoniao" AKA Kibao Mbuzi.

8. Breakfast Ya 1000 Tanga Unashiba Vizuri Kabisa Kifupi Ukila Mchana Kisa Njaa Ujue Una Minyoo Au Ulafi.

9. Ndio Jiji Lisilo Na Kelele Wala Vurugu Pako Kimyaaa Hadi Raha.
Kijana Wa Tanga Akishakuwa Na Uhakika Wa Kula Na Sehemu Ya Kukaa Anawaza Kuongeza Mke Sio Biashara Wala Kuwekeza Hayo Mtajua Wenyewe.

10. Ukitaka Binti Wa Kitanga Aje Geto Mwambie Apande Pikipiki Utamlipa Boda Halafu Akifika Mnunulie Chips Yai Na Soda Broo Umemaliza Kazi.

11. Tanga Ndio Jiji Lenye Soda Au Tuseme Juice Ya Kipekee Inayoitwa "Healtho" Au "Anjari" Ni Tamu Sana Zipo Aina Kama 5 Hivi Huko Bakhresa,Mo,Coca,Pepsi Hata Hawasikiki Sana.

12. Ukiwa Tanga Jaribu Kuishi Na Watu Vizuri Kuoa Na Kuolewa Usipate Shida Wao Ndio Watakutafutia.

13. Raskazone,Donge,Tanga Beach Ndio Ushuani Huko Wanaishi Vigogo AKA Mafogo.

14. Tanga Mjini Kuna Super Market 1 Tu Inaitwa Mkwabi 🤣🤣 (Labda Kama Zimeongezeka)

15. Wasambaa Ndio Kabila Linaloheshimika Zaidi Tanga Mjini Na Ndio Kabila Superior.

16. Kuhusu maji ya kunywa hapo usiseme kule huna haja ya kununua maji dukani maana maji ya bomba tu yanatosha kukata kiu yako kifupi hayana shida kabisa hadi raha.

17. Ukiwa na binti wa kitanga uwe na pumzi ipasavyo usipoangalia utatolewa jasho mwanaume alaa.

18. Tanga Kuna Traffic Light sehemu 2 Tu Pale Toyota Kuelekea Bombo na Maeneo ya Mkwakwani.

19. Tanga hakuna Bolt, Uber Wala Farasi ni Mwendo Wakuita Kibao Mbuzi au Upande Daladala.

2o. Daladala Ipo Radhi Imsubiri Mtu Tena Ikibidi Ipige Reverse Imfwate Alipo.

Sema katika yote Tanga ni jiji lililopangika vizuri kuanzia uswahilini, mjini kati mpaka huko kwa matajiri!!

#VisitTanga
Kajiji ka Kisiasa 😁😁
 
Jiji halieleweki, mtu ukijituma kufanya kazi na kujiletea maendeleo wenzako wanakuroga eti unajifanya mzungu, yaani wanataka mfanane tu. Wazee wa lile jiji wanaona ufahari watoto wao wakienda madrasa kuliko shule, sasa unajiuliza, hivi elimu na mila ya Kiarab inamsaidia mtoto wa Kitanzania katika maisha yake? Sisi watanzania tuna mila na desturi zetu jamani.

Kwahiyo Madrasa wanafundishwa Mila za Kiarab?
'Sunday school' basi itakuwa ni Mila za Kibantu, cheka na ufurahi wewe basi.
 
Kwahiyo mkuu kusalimia tu ndo kukufanye ilukose amani?? Ila mi nipo TANGA mwaka wa 10 huu, hakuna kitu Kama hicho. Kwa kifupi tuseme uchawi upo Hata maeneo mengine ya Tanzania na dunia, shida Ni Imani ambayo imekua ikisambazwa tangu na tangu ambayo Hadi leo kuhusu uchawi TANGA. Ila Ni Mambo ya kuhasithiana tu vijiweni ambayo hayana uthibitisho. Karibu TANGA mkuu.
Maeeneo ya starehe hamjasema kwa warembo
 
Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.

Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga

1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani.

2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini Jiongeze.

3. Ugali Wa 1500 Unapata Mboga 7 Usisahau Uono (Dagaa Mchele) Buree.

4. Tanga Ndio Jiji Pekee Kuna Baiskeli Za Kukodi Yaani Kama Bodaboda Vile Zina Kiti Chenye Sponge Hadi Raha.

5. Club Za Tanga Zinapiga Taarabu Unashangaa Shauri Yako.

6. Self Tanga Ni 50K Chumba Kikubwa Na Choo Ndani Tena Vimenakshiwa Vizuri Kabisa.

7. Wakazi Wa Tanga Hawapandi Boxer,TVS Wanapikipiki Zao Special Zinaitwa "Huoniao" AKA Kibao Mbuzi.

8. Breakfast Ya 1000 Tanga Unashiba Vizuri Kabisa Kifupi Ukila Mchana Kisa Njaa Ujue Una Minyoo Au Ulafi.

9. Ndio Jiji Lisilo Na Kelele Wala Vurugu Pako Kimyaaa Hadi Raha.
Kijana Wa Tanga Akishakuwa Na Uhakika Wa Kula Na Sehemu Ya Kukaa Anawaza Kuongeza Mke Sio Biashara Wala Kuwekeza Hayo Mtajua Wenyewe.

10. Ukitaka Binti Wa Kitanga Aje Geto Mwambie Apande Pikipiki Utamlipa Boda Halafu Akifika Mnunulie Chips Yai Na Soda Broo Umemaliza Kazi.

11. Tanga Ndio Jiji Lenye Soda Au Tuseme Juice Ya Kipekee Inayoitwa "Healtho" Au "Anjari" Ni Tamu Sana Zipo Aina Kama 5 Hivi Huko Bakhresa,Mo,Coca,Pepsi Hata Hawasikiki Sana.

12. Ukiwa Tanga Jaribu Kuishi Na Watu Vizuri Kuoa Na Kuolewa Usipate Shida Wao Ndio Watakutafutia.

13. Raskazone,Donge,Tanga Beach Ndio Ushuani Huko Wanaishi Vigogo AKA Mafogo.

14. Tanga Mjini Kuna Super Market 1 Tu Inaitwa Mkwabi 🤣🤣 (Labda Kama Zimeongezeka)

15. Wasambaa Ndio Kabila Linaloheshimika Zaidi Tanga Mjini Na Ndio Kabila Superior.

16. Kuhusu maji ya kunywa hapo usiseme kule huna haja ya kununua maji dukani maana maji ya bomba tu yanatosha kukata kiu yako kifupi hayana shida kabisa hadi raha.

17. Ukiwa na binti wa kitanga uwe na pumzi ipasavyo usipoangalia utatolewa jasho mwanaume alaa.

18. Tanga Kuna Traffic Light sehemu 2 Tu Pale Toyota Kuelekea Bombo na Maeneo ya Mkwakwani.

19. Tanga hakuna Bolt, Uber Wala Farasi ni Mwendo Wakuita Kibao Mbuzi au Upande Daladala.

2o. Daladala Ipo Radhi Imsubiri Mtu Tena Ikibidi Ipige Reverse Imfwate Alipo.

Sema katika yote Tanga ni jiji lililopangika vizuri kuanzia uswahilini, mjini kati mpaka huko kwa matajiri!!

#VisitTanga
Nimemkumbuka mpenz wangu Zays ulipotaja Tanga
 
Back
Top Bottom