Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

tiGo je?
 
Wanawake wa kitanga kwa mapenzi! Hasa wadigo
 
Accumen Mo ,Tanga inapata wapi mapato ya kuzidi Hadi Mwanza ikiwa Bandari inakusanya chini ya Bil.38?

Je ni ule mpaka pekee ndio unaingiza hela takribani Bilioni 400?

View: https://www.instagram.com/reel/C94jkWEveyw/?igsh=MWxqMWU1aHlubWFjMw==
Yaani bandari tu ilikuwa kuipa promo ndio tunaweza kufika mbali , tukiweka mikakati mizuri tunaweza kuleta ushindani pale Mombasa .


Pesa za Tanga zipo kwa wahindi na waarabu , huku Handeni kuna madini wanakula kimya kimya

Kuna kampuni ya Neelkanth watu wanachimba lime , chumvi ..Fursa kibao kule
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwezi mtukufu wa Ramadhani wametulia kidogo, ila kweli kwa maeneo hayo, alafu ukute Kuna kijamvi, usiku mzima mashangazi na wajomba Ni kuchanja gomba tu
Hivi zile gomba zinaruhusiwa Tanzania au kama sigara tu.
Kuna siku moja nilikuwa nimekaa mahali na mwanamke wa Tanga tunaongea ghafla katoa hiyo gomba kutoka kwenye pochi lake anaanza kutafuna ilinishangaza sana aisee
 
Anjari,uono,raskazoni,mkwakwani,casa chika something like that bandarini,njia saba , tanga televosion,changakeni,ngubumali ni liishi,niukishapita chumba geni dah huo mji raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…