Habari Mabibi na Mababu,
Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.
Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe mgeni kiasi gani humu jf ila kama hujawahi kusoma au kuchangia baadhi ya nyuzi (thread) fulani humu basi bado hujajua utamu wa JamiiForums. Nyuzi hizo ni kama ifuatavyo;
1. Vituko mtandaoni
2. Wa mwisho ndio mshindi
3. JF usiku wa Manane
4. Na kulikuwa na ule wa kula tunda kimasikhara
Unaweza ongezea thread nyingine hapa ambayo km hujawahi kushiriki au ata kuisoma tu basi wewe hujui utamu wa JamiiForums