Kama hujawahi kushiriki thread hizi basi hujui utamu wa JamiiForums

Kama hujawahi kushiriki thread hizi basi hujui utamu wa JamiiForums

Habari Mabibi na Mababu,

Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.

Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe mgeni kiasi gani humu jf ila kama hujawahi kusoma au kuchangia baadhi ya nyuzi (thread) fulani humu basi bado hujajua utamu wa JamiiForums. Nyuzi hizo ni kama ifuatavyo;

1. Vituko mtandaoni

2. Wa mwisho ndio mshindi

3. JF usiku wa Manane

4. Na kulikuwa na ule wa kula tunda kimasikhara

Unaweza ongezea thread nyingine hapa ambayo km hujawahi kushiriki au ata kuisoma tu basi wewe hujui utamu wa JamiiForums
Sasa kama kila mtu akiongeza thread, kuna yeyote atayekuwa hajaonja utamu wa JF..??
 
Hizo thread ni kama mtoto anayemshangaa mtu mzima kwanini hachezei toys sababu kuchezea toys ni raha sana.
 
Battle kati ya Humble African Vs Engineer
Sweta la Tanzania
 
Snap it, show it
Makapuku forum - shootout kwa mkubwa Mshana Jr
Kulikuwa na Uzi ulikuwa unakuja kwa kasi sana, chini ya wachambuzi akina DeepPond ulikuwa ukimzungumzia mia khalifa aliyekuwa mcheza porn
 
Back
Top Bottom