Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 #1 Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi. Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi. Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,709 Reaction score 1,963 Nov 16, 2020 #2 Nipe hiyo million mkuu
blackhawk JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 262 Reaction score 587 Nov 16, 2020 #3 Leta milioni hiyo mkuu
MANDEVUMENGI JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 1,345 Reaction score 3,570 Nov 16, 2020 #4 Mtoto ana "papuchi" tamu yule!
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #5 Ulisikia Wapi said: Nipe hiyo million mkuu Click to expand... Ushataja angalia hii screenshot
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #6 blackhawk said: Leta milioni hiyo mkuu Click to expand... Ushalitaja wewe hili neno kama maji usikunywa utajitawaza
blackhawk said: Leta milioni hiyo mkuu Click to expand... Ushalitaja wewe hili neno kama maji usikunywa utajitawaza
sinyora JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 970 Reaction score 1,638 Nov 16, 2020 #7 Mimi sijawahi kaka
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #8 Njooni mchukue millioni sasaivi unapewa
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #9 sinyora said: mim sijawahi kaka Click to expand... Hiyo hapo
sinyora JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 970 Reaction score 1,638 Nov 16, 2020 #10 Babumawe said: Hiyo hapoView attachment 1627300 Click to expand... π π leo umetuweza
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 16, 2020 #11 Hivi nimewahi kweliπ€
sinyora JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 970 Reaction score 1,638 Nov 16, 2020 #12 yna2 said: Hivi nimewahi kweliπ€ Click to expand... mil bado ipo mkuu π
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 16, 2020 #13 sinyora said: mil bado ipo mkuu π Click to expand... ππππ
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #14 yna2 said: Hivi nimewahi kweli[emoji848] Click to expand... Kama hujawahi unapewa chako sitanii
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Nov 16, 2020 #15 Babumawe said: Kama hujawahi unapewa chako sitanii Click to expand... Mkuu mtu akikanusha unaweka na ushaidi [emoji23]
Babumawe said: Kama hujawahi unapewa chako sitanii Click to expand... Mkuu mtu akikanusha unaweka na ushaidi [emoji23]
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #16 Papushikashi said: Mkuu mtu akikanusha unaweka na ushaidi [emoji23] Click to expand... Yaa hakuna janjajanja
Papushikashi said: Mkuu mtu akikanusha unaweka na ushaidi [emoji23] Click to expand... Yaa hakuna janjajanja
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,033 Reaction score 8,805 Nov 16, 2020 #17 *****ππ, sijawahi mimi
rumplelstiltskin JF-Expert Member Joined Jul 27, 2020 Posts 232 Reaction score 339 Nov 16, 2020 #18 Naisubir
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #19 Kizibo said: *****[emoji23][emoji23], sijawahi mimi Click to expand... Pole sana
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Nov 16, 2020 Thread starter #20 rumplelstiltskin said: Naisubir Click to expand... Haya endelea kusubiri