Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemkamata vizuri sana [emoji1787]Ushataja angalia hii screenshotView attachment 1627294
🏌️♂️🏌️♂️ weee mkuuPole sana kaka sio riziki yakoView attachment 1627533
Nipe mimi sijawahi litumia.1 MILLION cash bado ipo
mwamba kazama kutafuta ushaidiSijawahi, hiyo pesa namtuma Boda aje aifate
Possibly wewe unaweza pata, kama kweli mtoa mada anamaanisha.Nipe mimi sijawahi litumia.
UtopoloNawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.