Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

ATAKAYESHINDA HII NI MTU MMOJA TU mkwepu jr
Huyo apo
Screenshot_2020-11-16-12-38-27.jpeg
 
Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.

Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.

Sijawahi Haya nipe hiyo pesa[emoji23][emoji16]
 
Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.

Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Mi sijawahi mkuu!😀
 
Back
Top Bottom