Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Mleta mada pesa ya Paula hiyo, basi hujaprove wrong, najuta kutumia neno mkuu ona sasa nakosa pesa 😀
 
1MILLION CASH BADO IPO KWENYE TABLE
 
[emoji23][emoji23] kwani neno mkuu na JF vina uhusiano gani dah
 
Ayaaa!!!

Umeshaharibu kiongozi... watu tulikuwa tunajiandaa kumla kichwa huyu mhuni, ona sasa unataka kunikosesha 1 mil hivihivi Mkuu[emoji38][emoji134][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitaka uteledhe kwenye ganda la ndizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…