Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.

Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Mimi sijawahi kulitaja
 
Kazi ipo kwenye kutafuta ushahidi kwa baadhi ya watu wenye post nyinigi halafu hilo neno wamelitaja mara chache.
 
Back
Top Bottom