Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
give it to Paula Paul because you have edited tha screenshot1 MILLION CASH STILL ON TABLE
Sijawahi kutumia hilo jina Babumawe. Hata hiyo picha unayoita "evidence " hayo maneno sijawahi kuyaandika.Paula unabishana na ushahidi mama
Sijawahi kutumia hilo jina Babumawe. Hata hiyo picha unayoita "evidence " hayo maneno sijawahi kuyaandika.
Umetafuta comment ya kinoko sana[emoji3]Huna chako View attachment 1628083
Ila huo muda wa miezi mitatu uliotoa utakuliza soon, nasema soon na utakuja kushuhudia hapa1 MILLION CASH STILL ON TABLE
Kama utaangalia vizuri utaona niliweka wino mzito (bolding) na alama za fungua na funga semi (open & close quote mark). Mahala ambapo hapana wino mzito (bold), hayo ni maneno yangu.Haya chukua ringi lako ukachezeView attachment 1627889
Boss hio milion bado ipo nije nichukue??Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
1MILLION CASH BADO IPO KWENYE TABLE