Kama hujawahi kuwambiwa na mdada anaomba "mbegu" Basi unasura personal

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.

Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.

Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.

Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.

Acheni unafiki.

Cc Balqior mtu muelewa sana.
 
Wagegede mwanawane sii wanazileta wenyewe hizo mbususu
 
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.

Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.

Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.

Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.

Acheni unafiki.

Cc Balqior mtu muelewa sana.
We ndio juzi ulikuja na uzi wa kwamba ukiingia oral unapita bila kupingwa kwa sababu ya good looking?
Mbona kama unatia mashaka uanaume wako???
 
Hamna kitu kama hiko mi niliombwa ila badae nikagundua alikua anataka akauze kwa watengeneza perfume na kiwi
IMG_20250405_192502.jpg
 
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.

Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.

Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.

Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.

Acheni unafiki.

Cc Balqior mtu muelewa sana.
JF takataka kama hizi zipigwe Ban tu
 
Wakati mwingine wanaamua kukuchangamsha tu wakiona umekaa kidomo zegezege
 
Back
Top Bottom