Wagegede mwanawane sii wanazileta wenyewe hizo mbususuWadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.
Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.
Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.
Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.
Acheni unafiki.
Cc Balqior mtu muelewa sana.
We ndio juzi ulikuja na uzi wa kwamba ukiingia oral unapita bila kupingwa kwa sababu ya good looking?Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.
Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.
Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.
Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.
Acheni unafiki.
Cc Balqior mtu muelewa sana.
mbavu zangu jamaniii eee
JF takataka kama hizi zipigwe Ban tuWadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.
Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.
Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha sura zao.
Wadada nao wanajifanya, "mwanaume unajisifia uzuri, wakati kimoyomoyo wananitamani.
Acheni unafiki.
Cc Balqior mtu muelewa sana.
Mkuu nakuelewa kwa mtazamo wa kimagharibi ila kikwetu unazingua pakubwa bwashee .Jiheshimu we jamaa mwanaume kua mzuri haimaanishi ni shiga, km we unasura ngumu deal with it.