katka pita pita zangu one day niliwahi kunasa kwa mtoto mmoja, tulipoanza kuongea tu nilichoka mwenyewe, kingeredha mtoto analonga kama nini, halafu kingi ni kile kilichovunjka (broken)!
akadhani mi ni mlugaluga nikamshushia cha ukweli mara akaanza, sor! were u born in tanzania?!
wengi wanazingua sana, na ukikutana na wa aina hii kuwapata huwa ni rahisi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity!!!
hahah jamani mie leo nacheka tu mnanifurahisha wana JF edson acha vituko
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!
Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.
Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!
Money rules guys!!!
Cheka huku unagonga senks basi. Sio unacheka tuuuuuuu!
mie sina noma huwa nagonga tu mradi nimefurahi ila kila nilikuwa nikiweka tks zinagoma now naona zimekubali
Embu imagine kwa mfano uliye mrefer hapo angekuwa mwanamke ndio unataka kumtokea........? angekuwa anakutukana hata hujui.[/QUOTE]
ha hah haa...hapa umenivunja mbavu,
Kama hutojali shemeji yeye alivyokuja wewe ulimpa pozi gani? au ni hilo jicho tu lilimaliza kila kitu?
hahaha hakuwa na haja hiyo kwani nilipomuona tu nikajua huyo ndo a man of ma dream wala sikuwa na haja ya kutema ngeri ikaenda ikarudi sijui present + past tense no ilikuwa tambarare tu
demu yoyote yule ni HELA TU!,ANKARA,MKWANJA,CHAPAA.hata awe nani sijui unaua kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii